tunda man na feruzi nani mkali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tunda man na feruzi nani mkali?

Discussion in 'Entertainment' started by jojig, Mar 28, 2010.

 1. j

  jojig Member

  #1
  Mar 28, 2010
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaitwa Khalid Ramadhan tunda ukipenda muite tunda man ni kichwa kinachosumbua kwenye anga za bongo flavor.Kwa wanaomkubuka feruzi na nyimbo zake za malalamiko zilivyosumbua miaka ya mwanzoni ya 2000 mtakubaliana na mimi kuwa bongo flavor industry imepata feruzi mpya nae ni tunda man.
  nakumbuka tokea tukiwa shuleni pale forodhani secondary mitaa ya posta mpya niliamini kuwa ipo siku atakuja kuwa kichwa cha hatari.
  alianza na NEILAH kama track iliyomtambulisha zikafuata nyimbo nyingine nzuri ikiwa ni pamoja na nyimbo iliyokua kama nation anthem RIPOTI aliouimba akishirikiana na SPACK.Hivi karibuni amemaliza ubishi wa wale wasiouamini uwezo wake mkubwa katika hii game pale alipoangusha kitu HALI YANGU MBAYA akiwashirikisha madee na chege.
  lengo la mimi kuandika hii thread ni kutaka vijana wenzangu wana JF wanaoizimia bongo flavor tujaribu kuwalinganisha hawa wanamziki wawili namanisha FERUZI na TUNDA MAN.kipi wanafanana na kipi hawafanani na nani mkali between them.
   
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Feroooz a.k.a Ferarri huwezi kumfananisha na tunda mammy...
  Ferooooz ni sayari nyingine...

  tunda mammy ataimba nyimbo zake zote mpk cku atakapoacha muziki lakini hawezi kuimba wimbo hata unaoukaribia starehe wa Ferarri....
   
Loading...