Tunda awekwa kitimoto na familia yake kwa kutembea na mume wa mtu 'Kinje'

Wazazi wake nao hawajitambui...mtoto kama huyu ni wa kumcharaza bakora na kumpeleka jela akaozee huko.
Baba'ke na huyo mtoto alikuwa ni askari, alikuwa anaogopwa sana na katesa sana watu enzi zake anaitwa Afande Sabasita. Nashangaa kashindwa kumlea mtoto wake.
 
Hivi kweli ana familia;
hapana huyu dada kavuka mipaka jamani;
na sijui ni mchagga wa wapi;
 
Wazazi wenyewe wanamtegemea tunda, sasa walitaka afanyaje, wanajibaraguza tu, na yeye zamu yake bado
Baba yke yuko vizuri tu kiuchumi,2004 akikuaga mpambe wa tajiri mmoja wa madini arusha alizichota pesa haswa bdae ndio akahamishiwa dar kikazi
 
Baba yke ni mjeda alikua anaogopeka moshi na mererani ila kwa binti yke kafeli
Pesa za Rushwa za maaskari, ndio zinazozaaa rahana kwa watoto wao. Asilimia kubwa ya watoto Wa maaskari wanakuwa na rahana kwa sababu wazazi wanatumia Pesa za Rahana kwa watoto wao
 
Kumbe saba sita kimaro ndiyo baba yake Tunda???duuuh huyo poti namjua wa longtime sana alianzia chuga alikuwa kiboko ya vibaka na majambazi sasa hako katoto kamemshindaje kukalea?
Watu wanashangaaa nini? Walitaka aaribikiwe nani? Sasa
 
Back
Top Bottom