Afrika ni bara dhaifu kiakili, kitechnologia, kiuchumi, kiafya, ni bara la giza, karibu ya asilimia 80℅ ya maisha ya kila siku tunatumia vifaa vya watu weupe. Leo tunazuia MAKONTENA YA MCHANGA kwa kujitoa ufahamu. Mchanga wa dhahabu sio sukari, hiyo mashine ya smelter hatuwezi kutengeneza, tunategemea kuinunua kutoka kwa hao weupe tuliozuia mchanga wao.
Nguo za ndani tu zinatushinda kutengeneza sembuse mchanga wa dhahabu!!
Napita zangu.
Nguo za ndani tu zinatushinda kutengeneza sembuse mchanga wa dhahabu!!
Napita zangu.