Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri

Jopelo John

JF-Expert Member
Aug 17, 2018
317
71
Nawatangazia biashara kwa wadau wote wa Dar na mikoa yote Tanzania, wote wenye mahitaji ya betri mpya kwa ajili ya magari aina yote na betri kwa magenerator na mashine mbali mbali.

Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri, imara na ni bidhaa quality tunakupa warranty.
Tunazo betri kwa ajili ya magari zote, malori yote, maexcavator za aina zote na magenereta zote

SIMU -0737-017866 AU 0767-379412. nakuletea betri popote ulipo kwa (Dar), na kwa mkoa tunasafirisha pia.
EMAIL- jopelo.john@mail.com

Tunasafirisha mzigo kwa wateja wote wa mikoani na gharama za usafiri itaongezeka

Tupo Vingunguti, Dar es salaam.
SIMU -0737-017866 AU 0767-379412.
EMAIL- jopelo.john@mail.com
69426203_2454116691316037_4651691869263101952_n.jpg
68971718_2454116924649347_739951267995975680_n.jpg
69426203_2454116691316037_4651691869263101952_n.jpg
68971718_2454116924649347_739951267995975680_n.jpg
 
Attachments

  • 69021053_2454116541316052_3660185702475235328_n.jpg
    69021053_2454116541316052_3660185702475235328_n.jpg
    59.5 KB · Views: 58
  • 69370667_2458197784241261_5269060668937469952_n.jpg
    69370667_2458197784241261_5269060668937469952_n.jpg
    32.5 KB · Views: 49
  • 68699321_2458198157574557_9176715781348524032_n.jpg
    68699321_2458198157574557_9176715781348524032_n.jpg
    33.3 KB · Views: 61
  • 69063845_2458198034241236_3064310400913768448_n.jpg
    69063845_2458198034241236_3064310400913768448_n.jpg
    59 KB · Views: 42
Nawatangazia biashara kwa wadau wote wa Dar na mikoa yote Tanzania, wote wenye mahitaji ya betri mpya kwa ajili ya gari, Generator na mashine mbali mbali.

Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri ni imara ni bidhaa quality. tunakupa warranty ya mwaka mzima

Tunasafirisha mzigo kwa wateja wote wa mikoani, gharama za usafiri itaongezeka tupo Vingunguti, Dar es salaam.

Simu -0737-017866 au 0767-379412.

email- jopelo.john@mail.com
 
Attachments

  • 69588160_2454116814649358_3233291997934518272_n.jpg
    69588160_2454116814649358_3233291997934518272_n.jpg
    59.3 KB · Views: 41
  • 69426203_2454116691316037_4651691869263101952_n.jpg
    69426203_2454116691316037_4651691869263101952_n.jpg
    60.7 KB · Views: 50
  • 69021053_2454116541316052_3660185702475235328_n.jpg
    69021053_2454116541316052_3660185702475235328_n.jpg
    59.5 KB · Views: 36
  • 68971718_2454116924649347_739951267995975680_n.jpg
    68971718_2454116924649347_739951267995975680_n.jpg
    45.2 KB · Views: 32
TNT BATTERIES IN ALL SIZES. CALL FOR MORE INFO
 
Attachments

  • 69426203_2454116691316037_4651691869263101952_n.jpg
    69426203_2454116691316037_4651691869263101952_n.jpg
    60.7 KB · Views: 32
Biashara kwa mtindo huu ni ngumu sana kwa ulimwengu wa sasa, Tangaza biashara ukiwa umeweka details zote
N40 bei gani, N50 bei gani, N70........

Mkuu ndio maana nimeweka namba zangu za simu na email kwa mdau yeyote ambaye yuko interested na product zetu anitafute, nitamjibu fasta.

mkuu naomba nitoe hoja zingine za ziada kama ifuatavyo,

Kwanza, kwanini sijaweka bei ni kwasababu kuna kitu kinaitwa price instability. kuna wakati gharama za kodi na import duties itafanya bei za betri kupanda kila baada ya muda fulani na kuna wakati bei zinashuka. sasa nikiweka price list hapa kwenye uzi huu kuna wateja watakuja kunipigia simu mwaka mmoja baadaye wanataka bei ya N40 halafu nikiwatajia bei wataanza kusema mbona bei yako iko juu tofauti na na kwenye post ya JF.

Kumbe hawajui kwamba post ni ya muda mrefu na hali ni tofauti na sasa itakuwa mtihani kwa mtu wa sales kuanza kutoa sababu za kwanini bei zimepanda na kumshawishi tena mteja anunue betri kwa bei ambayo mteja hakujua.

Pili, kuna kitu kinaitwa customer confidential. siri ya mteja na muuzaji. hii kitu tunazingatia sana kwa wateja wetu hatutangazi wateja wetu public na ndio maana nashauri mdau yeyote ambaye yupo interested na product yetu apige simu kuuliza au tuma email ntakujibu fasta.

Tatu kuna competitors yaani wapinzani wetu, kama exide,Atlas, puma na wengineo mbona wao bei zao hawatangazi hadharani na sijui kama nimewahi kuona matangazo yao lakini wapo mtaani wanafanya biashara kama kawaida.

kwahiyo wadau wawe free, wapige simu ntawapa bei za betri au njoo ofisini tuzungumze biashara.
 
Hapo kwenye Customer Confidentiality nimekuelewa Sana, kumbe wateja tofauti wanaweza kupewa bei tofauti kulingana na jinsi ulivyoamka siku hiyo, bargain power ya Mteja etc.

Poa, haina noma
mkuu bei ya betri ntakayokuuzia leo ni tofauti na bei ya betri ntakayokuuzia baada ya miaka 2 ijayo. kwasababu hatuwezi kujua gharama za kodi zimepanda kiasi gani.

factor nyingine kuna wateja ambao wanaweza wakaja wakataka betri 100 na wanataka tumpe bei nzuri hapo lazima tukae tuzungumze tufikie mwafaka wa biashara.

lakini nachokuahidi mimi kwa product yetu ya TNT ni betri imara,quality na ina calcium na inadumu muda mrefu. na warranty tunatoa.
 
new stock waiting for orders
 
Attachments

  • 68806161_2458197910907915_8423898036874248192_n.jpg
    68806161_2458197910907915_8423898036874248192_n.jpg
    47.3 KB · Views: 31
betri kubwa za n150 mpaka n200 zipo . wahi sasa uchukue mzigo. piga simu 0767-379412.
 
mkuu bei ya betri ntakayokuuzia leo ni tofauti na bei ya betri ntakayokuuzia baada ya miaka 2 ijayo. kwasababu hatuwezi kujua gharama za kodi zimepanda kiasi gani.

factor nyingine kuna wateja ambao wanaweza wakaja wakataka betri 100 na wanataka tumpe bei nzuri hapo lazima tukae tuzungumze tufikie mwafaka wa biashara.

lakini nachokuahidi mimi kwa product yetu ya TNT ni betri imara,quality na ina calcium na inadumu muda mrefu. na warranty tunatoa.
Yaan nije Mpaka ulipo nikiwa Sijui hata nitauziwa bei gani ikitokea tukashindwana si nitakua nimepoteza muda na nauli
/mafuta sasa?

Vitu kibao hapa vinauzwa Ila watu huweka bei ya sasa, ikifika miaka mingine bei ikabadilika si uta update tu.

Kama bei zako hutofautiana kulingana na quantity unaweza kuweka price range pia. Hakuna sababu ya kuficha bei, unless unamsaidia mtu kuuza mzigo wake hataki ajue kama umeweka "cha juu"
 
We utakuwa dalali kuna cha juu hutaki boss ajue bora usitangaze biashara zako kama unaficha bei. Bei ndo kitu pekee knachomshawishi mtu mpaka anaanza kudadisi mengine nakupa siri hyo ndo kiunganishi/kichocheo cha biashara yako vinginevyo usitangaze maana huku mtaan yapo kibao maduka ya betry nao wanatoa sifa hzo hzo tena muda mwingne uzidisha
mkuu bei ya betri ntakayokuuzia leo ni tofauti na bei ya betri ntakayokuuzia baada ya miaka 2 ijayo. kwasababu hatuwezi kujua gharama za kodi zimepanda kiasi gani.

factor nyingine kuna wateja ambao wanaweza wakaja wakataka betri 100 na wanataka tumpe bei nzuri hapo lazima tukae tuzungumze tufikie mwafaka wa biashara.

lakini nachokuahidi mimi kwa product yetu ya TNT ni betri imara,quality na ina calcium na inadumu muda mrefu. na warranty tunatoa.
 
Yaan nije Mpaka ulipo nikiwa Sijui hata nitauziwa bei gani ikitokea tukashindwana si nitakua nimepoteza muda na nauli
/mafuta sasa?

Vitu kibao hapa vinauzwa Ila watu huweka bei ya sasa, ikifika miaka mingine bei ikabadilika si uta update tu.

Kama bei zako hutofautiana kulingana na quantity unaweza kuweka price range pia. Hakuna sababu ya kuficha bei, unless unamsaidia mtu kuuza mzigo wake hataki ajue kama umeweka "cha juu"
bosi nipe namba yako ya simu nikupigie ili nikupe bei ya betri unayotaka. ukiona bei zetu hazilipi kwako sawa ni maamuzi yako na ndio maana nimeweka tangazo mtandaoni ili wadau wanipigie simu niwape habari za bei. kwahiyo nifuate chemba bosi. simu yangu 0767-379412. call me au nipe namba yako nikupigie tuongee nikupe bei ya betri zetu.
ninakuhakikishia bei zetu hazina tofauti sana na huko unakoenda kununua.

mimi sio dalali.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom