Tunayosha nguo , kupasi,kusafisha viatu

Hapana, tangazo haliandikwi hivi, labda useme kuwa unatania. Nimekuja hapa kwakua nimeona idea yako ni kubwa sana kwahio jaribu kuwa serious, kuna pesa hapo.

Weka location,
Weka contact details,
Ikibidi weka na working days
Weka kama unafanya collection and delivery au hadi mteja akuletee ofisini

na maelezo mengine yatakusaidia sana kupata wateja na kuonekana uko genuine
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna nyoosha nguo + tunapasi, mkuu hapa sijaelewa na je ni wapi unapatika Mwanza ni kubwa nadhani tangazo halijakamilika.
 
Hapana, tangazo haliandikwi hivi, labda useme kuwa unatania. Nimekuja hapa kwakua nimeona idea yako ni kubwa sana kwahio jaribu kuwa serious, kuna pesa hapo.

Weka location,
Weka contact details,
Ikibidi weka na working days
Weka kama unafanya collection and delivery au hadi mteja akuletee ofisini

na maelezo mengine yatakusaidia sana kupata wateja na kuonekana uko genuine
PM kuna biashara nyingi. Usifundishe watu kazi zao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom