pakamwam
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 516
- 653
unaruhusuje tamthilia kuonyesha mambo yasiondana na jamii yetu kwenye vituo vikubwa vya television kama star tv, na vingine. baadhi ya mambo hayo ni kama mashoga kwenye tamthilia mbali mbali.
wapo watoto wanaongalia hizo tamthilia, je tunataka waige mambo hayooo.
nimesoma sana mambo ya sex orientation, hiyo ni kitu ya kujifunza na kama mtu anaweza kujifunza kitu pia anaweza kusaidiwa kukisahahu kwa kumpa negative motivation. negative motivatio ya serikali iwe adhabu kali kama kuwafungulia gereza lao la mashamba huko vijijini.
pia kibaiologia hakuna genes au chromosomes ambazo zinaleta intermediate person. human can either be male or female. sex orientation ni kitu cha kujifunza
mfano watu wameanza kujifunza kula ndogo sana siku hizi sababu ya mapicha ya x,serikali ingeweza kudhibiti mitandao na basi hayo mambo yasinguwa na ongezeko kubwa kiasi hicho
globalization was supposed to be diffusion of ideas from different societies around the worl and not the infussion of ideas from onlu developed nations to developing nations. madhara yake ni makubwa sana kwa mataifa yanayoendelea ambayo hata mifumo mingi haijakaa vizuri hasa hasa ya afya