Tunaweza kupendezesha maeneo yetu kwa kutumia wall arts mbalimbali

Mar 4, 2019
49
49
Umewahi fikiri ni jinsi gani unaweza pendezesha nyumba, ofisi, clubs, studios, mitaa na miji pia sehemu zinazokutanisha watu kama Airports, Ports, Car Hubs, Institutions na Train Stations?
Ni rahisi na salama na yenye kuleta mvuto, maana na kutoa maelezo kwa lugha ya picha na nyakati nyingine kuweka kumbukumbu.
Picha zenye kusanifiwa kwa ajiri ya kupambwa katika kuta za maeneo mbalimbali zimekuwa zikitumika kwa kiasi kikubwa katika mataifa ya Ulaya, Marekani Kaskazini na Kusini, Asia na Australasia huku Afrika ikiwa sio mtumiaji mkubwa wa sanaa hii.
Yafuatayo ni Mataifa yanayongoza kwa utamiaji wa picha za ukutani (Wall Arts) katika maeneo mbalimbali:-
• Russia Federation - Over 1.82 Billion
• United States - Over 1.04 Billion
• Turkey Rep. - Over 984 Millions
• Mexico - Over 945 Millions
• United Kingdom (Gibraltar, St. Helena, Turks & Caicos included) - Over 940 Millions
• Brasil - Over 902. Millions
• France - Over 833 Millions
• Chile - Over 820 Millions
• Singapore - 751 Millions
• Japan - 749 Millions
• Cuba, China, Ukraine, Bulgaria, Marocco, Australia, Germany, Spain, Portugal (Combinely) - Over 1.69 Billion
Wall Arts zimekuwa zikitumika kueleza wageni na hata kufundishia. Sanaa hii ya picha za ukutani inaweza kutumika maeneo ya public kama miji na hata maeneo ya kiutofauti.

Kwa zaidi ya miaka minne sasa nimekuwa mbunifu wa arts na illustrations, plaques na murals mbalimbali zilizopelekea kutambuliwa na City of Chelyabinsk, Wroclaw, Baia Mare na Karlstadt
Kazi zangu unaweza kuzikuta katika ofisi na majumba kama Maya Interprises - Morocco, Vaivaiby - St. Petersburg, Defected - London na sehemu nyingine, baadhi ya kazi zangu zimetumiwa na Warner Bros Germany, Warner Bros Suisse, Tolouse Metro, Henrikh Mikhitaryan (Kwa ushirikiano na Concept Studios Armenia), Francis Coquelin, Sam Feldt, Ben Azure, Kayna Samet, Plastik Funk, Robin Schulz, Malu Trevejo. Maluma (HP video Murals kwa ushirikiano na Andres na Nuno Gomes).

received_324208241665101.jpeg

TONSPIEL Artistischen - WEPLAY HQ in Köln Germany.

received_528005840976897.jpeg

Eryanios - in City of St. Petersburg.

IMG_20190301_004841.jpg

Defected - Defected Records HQ in London.

Tunaweza kupendezesha maeneo yetu kwa kutumia wall arts mbalimbali.
Unaweza kunitafuta kwa sajorsergiosjanic@gmail.com kupata wall arts kwa bei nafuu ya kupendezesha nyumba, shule, ofisi, hospitali, hotel, restaurant na mji wako.
 
Mkuu naomba tafsiri ya hio picha ya St. Petersburg namuona mtu kwenye bajaji na jua. Nataka kujua maana halisi ya hio art yako.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mkuu naomba tafsiri ya hio picha ya St. Petersburg namuona mtu kwenye bajaji na jua. Nataka kujua maana halisi ya hio art yako.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Unao uwezo wa kukimbia, kushindana na kufanya lolote ukikimbizana na wakati lakini hutoweza kuufikia.

Kasi ya aina yoyote inakuwa determined na nyakati. Wengi ushindana na mambo ambayo hayapo tayari kushindana.

Unafanya ambayo hupendezwi nayo kwa sababu ya mambo mengine, utaona watu wakiamka saa 11 asubuhi kuwahi kazini au mahala flani sio kwa sababu wanapenda lakini yapo mambo yanayopelekea wafanye hayo.

Sio kila kitu ushindana na hauwezi kushindana na asili.

Kila siku ipitayo tunashindwa indirect bila kufahamu hilo maana ni mengi tumebeba na mengine tunakwenda nayo.

Je ni twakimbizwa na nini, na tunakimbilia nini?

Jua/Majua, Sun/Suns yanatutazama yakiendelea na harakati zake.

Kila siku unawahi muda au kwenda nao lakini hujawahi kukamalisha katika muda lakini muda unakamilisha mipango yake.
 
Artist Hii Ni Sanaa Ya Aina Gani? Mbona Siyo Tingatinga Iliyozoeleka? Tingatinga Ni Ya Tanzania. Hii Sanaa Inaonekana Ni Mpya
 
Artist Hii Ni Sanaa Ya Aina Gani? Mbona Siyo Tingatinga Iliyozoeleka? Tingatinga Ni Ya Tanzania. Hii Sanaa Inaonekana Ni Mpya
Aina hii ya sanaa nimependelea kutumia Digital Illustration kuleta maana na uhalisia.
Hata hivyo naweza ya mkono kwa kuchora moja kwa moja kwenye ubao au karatasi.
 
Picha moja unatengeneza kwa pesa ngp ya Tanzania?maana nimeona kazi nyingi umeziuza ughaibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinatofauti katika bei, na pia naangalia na uhalisia wa mahala inapokwenda kutumika. Mf. Range ya bei ya Hospitali au Shule itanilazimu kuwa ndogo kwa sababu ya public entity.

Gharama ni nafuu kwa kuanzia 15,000 na kuendelea (Bila usafilishaji na wakati mwingine frame) unaupokea high printable file/art unaprint kwa specific dimension na kuitundika.
 
Boss...na kama picha ninazo tyr ila nataka zikae tu kwny hizo aina za frame,inawezekana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unao uwezo wa kukimbia, kushindana na kufanya lolote ukikimbizana na wakati lakini hutoweza kuufikia.

Kasi ya aina yoyote inakuwa determined na nyakati. Wengi ushindana na mambo ambayo hayapo tayari kushindana.

Unafanya ambayo hupendezwi nayo kwa sababu ya mambo mengine, utaona watu wakiamka saa 11 asubuhi kuwahi kazini au mahala flani sio kwa sababu wanapenda lakini yapo mambo yanayopelekea wafanye hayo.

Sio kila kitu ushindana na hauwezi kushindana na asili.

Kila siku ipitayo tunashindwa indirect bila kufahamu hilo maana ni mengi tumebeba na mengine tunakwenda nayo.

Je ni twakimbizwa na nini, na tunakimbilia nini?

Jua/Majua, Sun/Suns yanatutazama yakiendelea na harakati zake.

Kila siku unawahi muda au kwenda nao lakini hujawahi kukamalisha katika muda lakini muda unakamilisha mipango yake.
Nimeipenda hii....hongera bwana mkubwa kwa kazi nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom