Tunaweza kuficha mengi lakini "Ujinga/ Upumbavu" haufichiki kamwe

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
11,468
Points
2,000

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
11,468 2,000
Neno "Stupid"(ujinga/pumbavu) sio kosa kwa sababu Mtu mpumbafu au mjinga anaweza kurekebishika siku akiujua Ujinga/Upumbavu wake,

BABA yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alishasema moja ya maadui wakuu wa nchi yetu kati ya wale watatu ni Ujinga/Upumbavu hivyo tunapaswa kupambana nao,

Haiwezekani mtu mmoja aamue ofisi ya Uma ifungwe ili watu wengine wasipate Huduma kwa sababu ya tofauti
ya kiitikadi huo ni "Ujinga"

Haiwezekani mtu haitishe uchaguzi na mapambano yawe kwenye ulingo wa siasa, hapo hapo anabana wengine na kuwawekea Vikwazo ili washindwe kushiriki na apitishe wale anaowataka bila Kupingwa huo ni "Ujinga"
Kwa nini asiteue tu wale anaowataka yeye,

What's democracy?, kama kweli unaitaka Democracy na wakati huwezi kuipractice kwa vitendo kuna haja gani ya kuendelea kuwa nayo,

"Ujinga" ni pamoja na kung'ang'ania kitu ambacho unajua wazi hauna uwezo either kumiliki or kufanya,

Tunaweza Ficha mengi lakini "UJINGA"/UPUMBAVU Haufichiki kamwe na Dawa yake ni kuuondoa.Cc Zero IQ
 

Forum statistics

Threads 1,379,063
Members 525,301
Posts 33,733,681
Top