Tunawashukuru Wabunge wa CCM kwa kuendelea kuwajali Watanzania!!

"I think one of the keys to leadership is recognizing that everybody has gifts and talents. A good leader will learn how to harness those gifts toward the same goal."
-Dr. Ben Carson-
 
Mkuu serikali zote Dunia zina changamoto zake. Hizo ni chache katika mafanikio makubwa.

Wewe usinifanye sina akili kuna watz wengi sana wanashinda na njaa na wanalala bila kula maendeleo yapi si unambie shule za kata ambazo mtoto anahitimu kidato cha 4 hajui kusoma wala kuandika, hospitali ambazo hazna hata panadol, barabara za mkopo ambazo nazo ni feki, nambie wewe wapo graduate maelfu hawana ajira wala hawana mwelekeo, mtasema mmejenga udom isiyo na lecturer,research wala field kwa kozi za pspa,pa,sociology,bba nk ------- zenu mnalaana za watz nyie
 
Back
Top Bottom