Najiuliza na kupata shida kutambua jinsi tuunavyowapima wanasiasa wetu!
Nashangaa kuna watu wanasifiwa just kwa kufanya X na Y, lkn wengine wakifanya similar activities X na Y wanahojiwa kwa factor Z ambayo kwa mtu A haikuwa factored in!
Ni maajabu sana!
Hebu tutazame Mwl Nyerere ambaye ni raisi bora kabisa kutokea nchini! Anatazamwa kwa vigezo gani? Je aliachieve mambo gani? Hayo mambo impact yake kwa taifa ni kitu gani?
Mfano naweza kuzungumzia ukombozi wa Africa! Lakini nchi iligain au ili-loose? Mwl aliheshimika nchini kama mpigania Uhuru na Tanzania tunamsifu kwa hilo! Kwa taifa Mwl alitumia rasilimali za nchi kusaidia watu wa nje! In a way alidhoofisha uchumi wa ndani kwa maslahi ya wengine, tulichoambulia ni sifa tu! Kwa jicho hili la Mwalimu namuangalia kikwete, ameheshimika duniani kama mwanadiplomasia, amekuwa akisafiri sana na kuitia hasara serikali kwa kutembelea nchi mbalimbali, lkn binafsi amepata sifa kubwa na kuipa nchi heshima kubwa katika masuala ya diplomasia! Simaanishi kuwalinganisha Nyerere na kikwete lakini nalinganisha harakati zao hizi 2 ktk siasa za ulimwengu!
Natazama mkapa alivyosifika kuchukua nchi kwa Mwinyi ikiwa haina salio na uwezo mzuri wa kujiendesha! Mkapa alipata sifa ya kurejesha uchumi na kuimarisha nchi! Bado wapo wanaomsifia kwa hii major transformation, mh.mkapa alifanya kazi karibu sana na watu aliowaamini, ambao wote tunafahamu hakuwapata by chance alifanya selection ambapo wengi kati ya team yake aliwafahamu sana tu! Uimara kama huo naona anaupata mh Magufuli ingawa naye taratibu tunapata picha ya watendaji wake zinashabihiana kwa uchaguzi wa watu anaofanana au kufahamiana nao! Kwa mkapa na Magufuli hawapimwi kwa lolote Bali matokeo ya kazi zao!
Kiulinganifu wa hao hapo juu, namuweka Dr. Ramadhani Dau, alipolichukua shirika la NSSF toka kwa mkulo likiwa dhaifu na kulijenga kuwa moja kati ya mashirika yenye uchumi imara zaidi nchini! Dau hakuna hata sehemu moja anapimwa kwa matokeo ya kazi zake, yeye anapimwa kwa team aliyoiunda tu! Siwalinganishi kwa ubora, Ila naomba mkapa, Magufuli na Dau wapimwe kwa vigezo sawa, sio kwa A & B wapimwe kwa matokeo bila ya kuitazama safu, Ila C apimwe kwa safu na sio matokeo ya kazi zake!
Natamani kujua nini hasa vigezo vya ufaulu tunavyompa mtendaji wetu? Tunampimaje mwanasiasa au kiongozi yeyote wa umma?
Je tunafactors?
Kuna watu wanakashifu mafisadi lkn wanamwita lowasa shujaa!
Kuna watu wanamuona Sumaye anauthubutu lakini Slaa msaliti!
Kuna watu wanaona Nehemia Mchechu hastahili kupata pesa ndefu ila wanaona Kubenea na maji marefu wanastahili!
Wapo wanaoona team cardinal pengo inastahili misamaha lakini ya Mufti Zuberi haistahili!
Nini vigezo vinavyotumika kupima mambo nchini?
Vigezo gani tunapimia viongozi wetu?
Je tuna mtu kama ndio SI unit ya uongozi!
Let say Mwl. Nyerere kwa hiyo factors X,y,X ndio vigezo na unit factor in Mwl unit 1
So mkapa ana 0.8Mwl, kikwete 0.7Mwl na Mwinyi 0.6 Mwl!