Tunauza viti vya ofisini kiti kimoja laki 250,000

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Oct 8, 2018
366
140
Wana jf karibuni mjipatie viti vya ofisisi kwa kila kiti unapata kwa bei ya laki 250,000 viti vipo vizur sana PIGA 0677423349 tukuletee ulipo Kama wewe ni mkazi Wa dar es salaam location ni kigogo dar es salaam asanteni
IMG-20191009-WA0104.jpeg
 
Hivi viti vya aina hii mkuu vimepitwa sana na wakati,sijui kama utapata wanunuzi wa kununua kwa hiyo bei,pia vinaonekana kama vimetumika sana
 
Back
Top Bottom