Tunauza vifaranga chotara

pozzyfaza

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,453
265
GIMASE CHICKENS

Leo mzigo upo

Jipatie mbegu bora ya kuku wa Kuroiler wenye asili ya India.
Sifa zake:
1. Nirahisi kufugwa
2. Hawapatwi na magonjwa kirahisi
3. Wanaanza kutaga baada ya miezi 5 na nusu.
4. Wana uwezo wa kutaga mayai zaidi ya 260 kwa kwa mwaka..

Nunua sasa kwa bei ya Tsh. 1400/= kwa vifaranga wa siku moja.

Na box ni laki 140000 wanakua 102
Kuanzia box 5 bei ni 130000

+255764870930
+255789411234

Email:- gimases@gmail.com

Tunapatikana:-
Banana nyuma ya airwing sec.

Pia tunasafirisha kwenda Mikoa mbalimbali kwa gharama nafuu za mteja.

HUDUMA BORA VIFARANGA BORA..
IMG-20210929-WA0008.jpg
 
Kuroiler hatagi idadi hio ya mayai mkuu, katika utagaji Kuroiler ni wazembe balaa mno, hawa hata 200 hawafikishagi.

Pia usumwaminishe mtu kwba hawashambuliwi na magonjwa, wamashambiliwa sana usipo fuata kanuni za ufugaji,
 
Hawa kuku usiwafuge kama una historia ya ugonjwa wa moyo.Ni hilo tuu kwa leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom