Tunauza vifaa vya mazoezi kwa nyumbani na viwanjani

a15334b2e65584d4c53126ebc73d393b.jpg
fa9585197dea50b4dd14c8ebc23d7043.jpg
096e6c348eda4b86a4b90117b6bf76ea.jpg

Manual treadmill with huge discount for ramadhan offer from 900,000 to 700,000,imeunganishwa na stepper pamoja na rotating disc
Free delivery in dar es salaam
Contacts
0758728258
0718327776
 
Stainless steel exercise water bottles for only
Tsh 12,000
064cdf3e1999689bbdcb535852c4ddba.jpg
IMG_0866.JPG
44ef12ee392687b07aa7e3e485e15aed.jpg
195690d632f27d5400fc49208464d490.jpg

Contact us
0758728258
0718327776
 
Tunaendele pokea order
[HASHTAG]#six[/HASHTAG] _pac_care zitafika mwezi juni tareh 25
Weka order yako sasa,wateja watakaoweka order mapema wataipata kwa tsh 295,000 na ikifika itauzwa 350,000,huitaji kulipia pesa kabla ya mzigo kufika,unachotakiwa ni kutuma jina kamili likianziwa na six pac care kwenye namba hizi 0758728258,0718327776 na utaingizwa moja kwa moja kwenye orodha za order

 
Muda wowote baada ya wiki hii mzigo wa #revoflex_extreme utaingia,kwa sababu ziko chache ntapokea order zenu mapema ili uwahi kupata unachokitaka,waliotoa order hapo awali taarifa zenu bado zipo sio kwamba mtakosa,
Unachotakiwa kufanya ni kutuma jina lako kisha neno revoflex,then tuma kwenda namba hizi [HASHTAG]#0758728258[/HASHTAG] au [HASHTAG]#0718327776[/HASHTAG]
Malipo utafanya baada ya kukabidhiwa mzigo wako
#itauzwa_tsh_40,000
#free_delivery_in_dsm
Karibuni
 
Sit up Inclined bench
Kamilisha makazi yako kuwa sehemu tosha ya mazoez usihofie tena kuchelewa kutoka kazini na kuwahi gym,mzigo hua hapa utaletewa mpaka mlangoni
09129cb6dd08a566345f5999d1324ea3.jpg
1a7fc6497f615826290270cb0b63cda4.jpg
707af0f693f063c0a97000639bc891b7.jpg
25ac39d8bb2700f26122da36324845e9.jpg
957b6c395cd8b3548904c70caff64231.jpg
354251791f7a3205aac2c1c3ac247487.jpg
a93c454e92de4d4ccb4a62e387d67036.jpg
95acf30acd4c9908621a4d3c9df4c390.jpg
b7e7d2fab47b95d5eaef1fb9c4a2ab83.jpg

Kwa sh 250,000 tu.

mkuu minataka haka kabench cha hapa chini kabisa nipo mkoani na inakuaje?
 
1ca76a941684802a7d08fa0ded1edb96.jpg

Original adidas trainer
Tsh 60,000
Contact us
0758728258
0718327776
 
Muda wowote baada ya wiki hii mzigo wa #revoflex_extreme utaingia,kwa sababu ziko chache ntapokea order zenu mapema ili uwahi kupata unachokitaka,waliotoa order hapo awali taarifa zenu bado zipo sio kwamba mtakosa,
Unachotakiwa kufanya ni kutuma jina lako kisha neno revoflex,then tuma kwenda namba hizi [HASHTAG]#0758728258[/HASHTAG] au [HASHTAG]#0718327776[/HASHTAG]
Malipo utafanya baada ya kukabidhiwa mzigo wako
#itauzwa_tsh_40,000
#free_delivery_in_dsm
Karibuni


Hivi bado na mie nipo kwenye oda au ushanitoa.

Maana toka mzigo unatoka china , meli inaubeba, BOL inatumwa, meli inasafiri container limefika Dar, loose cargo mie nipo.

Ni add
 
Habari za wakati wana JF,napenda kuchukua fursa hii kuwaletea vifaa mbali mbali ambavyo waweza vitumia mahala popote,ni rahisi kubebeka na unaweza kufanya mazoezi wakati wowote kutokana na ratiba zako

1. Nianze na vigodoro(mattress)
Vigodoro hivi ni vyepesi,imara na vina urefu wa zaid ya futi sita,vinakuja na kibegi chake cha kubebea ambapo inafanya iwe rahis zaidi kubeba,unaweza kukitandika eneo lolote,vitakusaidia kuepukana na sugu ambazo watu wanazipata katika mazoez tofaut hasa ya kukata tumbo,pia kama wewe ni mtu wa kufanya mazoez katik viwanja mfano udsm pale kwenye viwanja vya tennis,bas hichi ni kitu unachokihitaji zaid
0a4539c05c252ce1f99abfe537d61c3d.jpg
72ed63c4f348e755c6bb82e57edf7071.jpg
ac1e8b6a42a18bd81040c1f6d4e540d0.jpg
8e21231c5c9a7d3fc1537cf31e5c2dc0.jpg
403ba3c1d54a4e633f80019e7fd7d67c.jpg
f1664b4e2ec09dbccd56be860635cf19.jpg

Vigodoro hivi vinapatikana kwa shilingi elfu 35,000
2d60a1d24a1d13a24df90c2b7bd3c45c.jpg
8235fe4bb68e08796dcbbde93cff9427.jpg
na 60,000 tu ,ni free delivery kwa watu wa dar es salaam
Piga namba 0758728258

2.pia kuna dumbbell
Zenye uzito mbali mbali kuanzia kilo 1 mpaka tano,zinauzwa kwa pair(yaani mbili) ya kushoto na kulia
Kilo moja-elf 28 (zote mbili)
Kilo mbili- elf 38 (zote mbili)
Kilo tatu -elf 65 (zote mbili)
Kilo nne- elfu 75(zote mbili)
Kilo tano- elfu 85(zote mbili)
a630f413e8b8da1ce0ddeacde1b990da.jpg
aac43feb99c21a43471d8f08bd521c70.jpg
73cb4ed22e46d88e9e4854059cc3dda1.jpg
4e3134056d1d2f91e9d038ac467bb6aa.jpg


3.pia kuna mkanda wa kupunguza tumbo unaotumia umeme(SAUNA BELT)
Kwa kukujali zaidi tunakupatia na ratiba nzur ya kufanya diet ili uweze kupunguza mafuta na uzito kwa haraka,mkanda huu unaufunga tumboni muda ambao utakuwa umepumzika,kwa mfano wakati umetoka kazini jioni,kisha unachomeka kwenye umeme,ina switch ambayo inacontroll joto unalolitaka,mkanda huu hutoa mvuke mvuke wenye joto ambao huburn mafuta yote yaliyotumboni,na kulipunguza tumbo kwa haraka
Huu unapatikana kwa sh 40,000 unapewa na tape kabisa ambayo utakuwa unajipima kuangalia mabadiliko
0038df3732e6b3d6d9ba03e34c8dd4d1.jpg


4.pia tunauza ankle support kwa shilingi elfu 10
Kneel support sh 13
Elbow support sh 13
Hizi ni kwa wale walioshtuka magoti,enka na viwiko,vitakusaidia upone kwa haraka huku uliendelea na mazoezi kama kawaida

96b80c128dafd82345ca1c6dc3f5ebda.jpg
a8045c8c838d33a3ab8afad0e15f44a3.jpg
b684a0c712caf7f960389f6fcc4d6e82.jpg
d19f435b4a619ccaf2df1fe4b137c8da.jpg


Bila kusahau vyuma vya push up kwa shilingi elfu 35
ab3eb90949bac6cbf72d68f84efc6ba0.jpg

Na hivi ni elf 20
0bc6b7f8d023a0ee1687a808e0b1a23b.jpg


Kumbuka kwa wakazi wa dar es salaam ni free delivery
Tuwasiliane kupitia 0758728258

Excellent. Tutawatafuta
 
Hizi ndizo faida 50 za mazoezi
Zifuatazo ni moja ya sababu 50 mhimu za kufanya mazoezi kwa afya bora na maisha marefu bila maumivu:

1. Hukufanya ujisikie vizuri
2. Huongeza uwezo wa kujifunza
3. Hujenga uwezo wa kujistahi
4. Huongeza nguvu ya ubongo kufanya kazi
5. Huuweka mwili wako kuwa unaofaa (fit) na wenye uwezo
6. Huongeza afya ya akili yako
7. Huongeza kinga ya mwili
8. Hupunguza mfadhaiko/stress
9. Hukufanya ujisikie vizuri/mwenye furaha
10. Hukufanya usizeeke mapema
11. Huweka ngozi yenye mng’aro na yenye afya
12. Husaidia kupata usingizi mtulivu
13. Husaidia kuzuia ugonjwa wa kiharusi/strokes
14. Huongeza ufanisi katika makutano/joints ya mwili
15. Huongeza nguvu za mishipa
16. Huondoa wasiwasi
17. Huongeza kumbukumbu
18. Husaidia kudhibiti ulevi/uteja
19. Huongeza uzarishaji
20. Huongeza uwezo wa ubunifu
21. Hupendezesha muonekano wa mwili
22. Huongeza uwezo wa kujiamini
23. Husaidia kuongeza nguvu juu ya malengo yako maishani
24. Huondoa tatizo la kukinaishwa na chakula
25. Huongeza miaka ya kuishi
26. Hukomaza mifupa
27. Huongeza afya ya moyo
28. Huongeza hali ya kuwa na msimamo
29. Huondoa homa ndogo ndogo mwilini
30. Huongeza hamu ya kula
31. Hudhibiti usawa wa lehemu/kolesteroli
32. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na baadhi ya kansa
33. Hushusha shinikizo la juu la damu/BP
34. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kisukari
35. Huzuia kupatwa na ukichaa/uwendawazimu
36. Hupunguza au huzuia maumivu ya mgongo
37. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa mifupa
38. Hupunguza hisia/fikra za kujisikia vibaya au huzuni
39. Huzuia kupotea kwa mishipa
40. Huongeza nguvu na ustahimilivu
41. Huongeza ufanisi katika michezo
42. Huongeza uwezo wa kuvumilia maumivu
43. Huongeza usawa na ushirikiano wa mwili
44. Huongeza usambazaji wa oksijeni katika seli za mwili
45. Huongeza hali ya ufuatiliaji/concentration
46. Huongeza uwezo wa kujitawala na kujidhibiti nafsi
47. Huondoa uchovu
48. Huongeza nguvu katika tendo la ndoa
49. Hufanya maisha ni yenye kuvutia zaidi
50. Huongeza ubora wa maisha

Nasoma weee, no 48 ipo mbali sana iweke tano bora. Unasema inazuia kupata ukichaa kabla ya no 48?
 
Hivi bado na mie nipo kwenye oda au ushanitoa.

Maana toka mzigo unatoka china , meli inaubeba, BOL inatumwa, meli inasafiri container limefika Dar, loose cargo mie nipo.

Ni add

Upo mkuu ntakutafuta kesho kutwa
 
Adidas trainer from indonesia
Size 44
Free delivery in dar es salaam
Contacts 0758728258/0718327776
 
Mzigo wa revoflex extreme mliousubiri kwa muda mrefu umefika,piga namba hizi
0758728258/0718327776 upate kuletewa mpaka ulipo
Tsh 40,000
 
Back
Top Bottom