Tunauza vifaa vya mazoezi kwa nyumbani na viwanjani

hatym

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
513
178
Habari za wakati wana JF,napenda kuchukua fursa hii kuwaletea vifaa mbali mbali ambavyo waweza vitumia mahala popote,ni rahisi kubebeka na unaweza kufanya mazoezi wakati wowote kutokana na ratiba zako

1. Nianze na vigodoro(mattress)
Vigodoro hivi ni vyepesi,imara na vina urefu wa zaid ya futi sita,vinakuja na kibegi chake cha kubebea ambapo inafanya iwe rahis zaidi kubeba,unaweza kukitandika eneo lolote,vitakusaidia kuepukana na sugu ambazo watu wanazipata katika mazoez tofaut hasa ya kukata tumbo,pia kama wewe ni mtu wa kufanya mazoez katik viwanja mfano udsm pale kwenye viwanja vya tennis,bas hichi ni kitu unachokihitaji zaid
0a4539c05c252ce1f99abfe537d61c3d.jpg
72ed63c4f348e755c6bb82e57edf7071.jpg
ac1e8b6a42a18bd81040c1f6d4e540d0.jpg
8e21231c5c9a7d3fc1537cf31e5c2dc0.jpg
403ba3c1d54a4e633f80019e7fd7d67c.jpg
f1664b4e2ec09dbccd56be860635cf19.jpg

Vigodoro hivi vinapatikana kwa shilingi elfu 35,000
2d60a1d24a1d13a24df90c2b7bd3c45c.jpg
8235fe4bb68e08796dcbbde93cff9427.jpg
na 60,000 tu ,ni free delivery kwa watu wa dar es salaam
Piga namba 0758728258

2.pia kuna dumbbell
Zenye uzito mbali mbali kuanzia kilo 1 mpaka tano,zinauzwa kwa pair(yaani mbili) ya kushoto na kulia
Kilo moja-elf 28 (zote mbili)
Kilo mbili- elf 38 (zote mbili)
Kilo tatu -elf 65 (zote mbili)
Kilo nne- elfu 75(zote mbili)
Kilo tano- elfu 85(zote mbili)
a630f413e8b8da1ce0ddeacde1b990da.jpg
aac43feb99c21a43471d8f08bd521c70.jpg
73cb4ed22e46d88e9e4854059cc3dda1.jpg
4e3134056d1d2f91e9d038ac467bb6aa.jpg


3.pia kuna mkanda wa kupunguza tumbo unaotumia umeme(SAUNA BELT)
Kwa kukujali zaidi tunakupatia na ratiba nzur ya kufanya diet ili uweze kupunguza mafuta na uzito kwa haraka,mkanda huu unaufunga tumboni muda ambao utakuwa umepumzika,kwa mfano wakati umetoka kazini jioni,kisha unachomeka kwenye umeme,ina switch ambayo inacontroll joto unalolitaka,mkanda huu hutoa mvuke mvuke wenye joto ambao huburn mafuta yote yaliyotumboni,na kulipunguza tumbo kwa haraka
Huu unapatikana kwa sh 40,000 unapewa na tape kabisa ambayo utakuwa unajipima kuangalia mabadiliko
0038df3732e6b3d6d9ba03e34c8dd4d1.jpg


4.pia tunauza ankle support kwa shilingi elfu 10
Kneel support sh 13
Elbow support sh 13
Hizi ni kwa wale walioshtuka magoti,enka na viwiko,vitakusaidia upone kwa haraka huku uliendelea na mazoezi kama kawaida

96b80c128dafd82345ca1c6dc3f5ebda.jpg
a8045c8c838d33a3ab8afad0e15f44a3.jpg
b684a0c712caf7f960389f6fcc4d6e82.jpg
d19f435b4a619ccaf2df1fe4b137c8da.jpg


Bila kusahau vyuma vya push up kwa shilingi elfu 35
ab3eb90949bac6cbf72d68f84efc6ba0.jpg

Na hivi ni elf 20
0bc6b7f8d023a0ee1687a808e0b1a23b.jpg


Kumbuka kwa wakazi wa dar es salaam ni free delivery
Tuwasiliane kupitia 0758728258
 
3dd204b70798bd8b1b613e22a6d525b0.jpg
0310e54c226fcc608bd0503e822c0f98.jpg
e993080480b6cf1d8117f1eec997eabc.jpg

Jipatie power stretch roller original kwa elf 30,000 m inayotumika kukata tumbo,ikiwa na sifa ya kujirudisha hivyo kukufanya usiende moja kwa moja na kuanguka pindi ufanyapo mazoezi
 
de503619c07b1f112f31bc5261745be9.jpg
679f8afe05e16cb3c84538e897b10bd5.jpg
2ad6419b124c37cb310319e18410b062.jpg
7ca8c69e9dc0c279081d7ffad2c49a9f.jpg

Tummy trimmer zote za spring moja na spring mbili zinapatikana
 
3c6e1ff593272c11182a5cc1d6cd6988.jpg
db40827306d7090d489d36e658c5b1b3.jpg

Original adidas from Vietnam and Indonesia vya mazoez,zinapatikana namba zote kwa tsh 60,000 tu
 
Hizi ndizo faida 50 za mazoezi
Zifuatazo ni moja ya sababu 50 mhimu za kufanya mazoezi kwa afya bora na maisha marefu bila maumivu:

1. Hukufanya ujisikie vizuri
2. Huongeza uwezo wa kujifunza
3. Hujenga uwezo wa kujistahi
4. Huongeza nguvu ya ubongo kufanya kazi
5. Huuweka mwili wako kuwa unaofaa (fit) na wenye uwezo
6. Huongeza afya ya akili yako
7. Huongeza kinga ya mwili
8. Hupunguza mfadhaiko/stress
9. Hukufanya ujisikie vizuri/mwenye furaha
10. Hukufanya usizeeke mapema
11. Huweka ngozi yenye mng’aro na yenye afya
12. Husaidia kupata usingizi mtulivu
13. Husaidia kuzuia ugonjwa wa kiharusi/strokes
14. Huongeza ufanisi katika makutano/joints ya mwili
15. Huongeza nguvu za mishipa
16. Huondoa wasiwasi
17. Huongeza kumbukumbu
18. Husaidia kudhibiti ulevi/uteja
19. Huongeza uzarishaji
20. Huongeza uwezo wa ubunifu
21. Hupendezesha muonekano wa mwili
22. Huongeza uwezo wa kujiamini
23. Husaidia kuongeza nguvu juu ya malengo yako maishani
24. Huondoa tatizo la kukinaishwa na chakula
25. Huongeza miaka ya kuishi
26. Hukomaza mifupa
27. Huongeza afya ya moyo
28. Huongeza hali ya kuwa na msimamo
29. Huondoa homa ndogo ndogo mwilini
30. Huongeza hamu ya kula
31. Hudhibiti usawa wa lehemu/kolesteroli
32. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na baadhi ya kansa
33. Hushusha shinikizo la juu la damu/BP
34. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kisukari
35. Huzuia kupatwa na ukichaa/uwendawazimu
36. Hupunguza au huzuia maumivu ya mgongo
37. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa mifupa
38. Hupunguza hisia/fikra za kujisikia vibaya au huzuni
39. Huzuia kupotea kwa mishipa
40. Huongeza nguvu na ustahimilivu
41. Huongeza ufanisi katika michezo
42. Huongeza uwezo wa kuvumilia maumivu
43. Huongeza usawa na ushirikiano wa mwili
44. Huongeza usambazaji wa oksijeni katika seli za mwili
45. Huongeza hali ya ufuatiliaji/concentration
46. Huongeza uwezo wa kujitawala na kujidhibiti nafsi
47. Huondoa uchovu
48. Huongeza nguvu katika tendo la ndoa
49. Hufanya maisha ni yenye kuvutia zaidi
50. Huongeza ubora wa maisha
 
Back
Top Bottom