TV4Sale Tunauza TV flat screen size zote aina zote bei poa

Habibu B. Anga

Habibu B. Anga

Verified Member
Joined
May 7, 2013
Messages
6,220
Likes
19,215
Points
280
Habibu B. Anga

Habibu B. Anga

Verified Member
Joined May 7, 2013
6,220 19,215 280
Mkuu Masoud Jamal

Mimi binafsi nahitaji Runinga bapa kuanzia inchi 40 au zaidi, pia nahitaji na jokofu (ikiwa kabila ya Samsung ni vyema zaidi) na lengo langu ilikuwa niagize huko zenjibari.. Sasa imekuwa vyema mfanyabiashara wa huko umejitokeza!

Ombi langu ni kwamba, hebu weka sampuli za bidhaa kadhaa, mfano hizo runinga pamoja na bei zake walau hata tushawishike kukutafuta huko whatsapp
Unaweza tu kuweka hata kwa maandishi tu bila picha..
Mambo ya "bei njoo whatsapp" sio kabisa Mkuu.. Hiyo ni biashara haina haja ya kufanya siri ati hata bei..

Asante!
 
Masoud Jamal

Masoud Jamal

Senior Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
135
Likes
45
Points
45
Age
32
Masoud Jamal

Masoud Jamal

Senior Member
Joined Nov 30, 2016
135 45 45
Pia weka bei hapa... Pengine waweza vutia sana wanunuzi..

Watu wengi tunajua zenji bidhaa bei rahisi sana.
Ni kweli bosi. Lkn bei inategemea na ukubwa wa tv yenyewe
 
Masoud Jamal

Masoud Jamal

Senior Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
135
Likes
45
Points
45
Age
32
Masoud Jamal

Masoud Jamal

Senior Member
Joined Nov 30, 2016
135 45 45
hivi kwa nini tupelekane chemba, weka hapa hapa tu
Mh bos kuna uzito gn km kitu unahitaji ukanitafuta private? Couse tv tunazo nyingi na bei zinapitana kulingana na kabila ya tv na ukubwa wake
 
Masoud Jamal

Masoud Jamal

Senior Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
135
Likes
45
Points
45
Age
32
Masoud Jamal

Masoud Jamal

Senior Member
Joined Nov 30, 2016
135 45 45
Mkuu weka bei
Ina maana hizi sms huzioni ??
Naziona ila nipo buzy kidogo bos nikichelewa kujibu msg usione tabu nifate private nitakujibu. Bei zinatofautiana kulingana na tv yenyewe
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,081
Likes
16,612
Points
280
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,081 16,612 280
Mh bos kuna uzito gn km kitu unahitaji ukanitafuta private? Couse tv tunazo nyingi na bei zinapitana kulingana na kabila ya tv na ukubwa wake
wEKA BEI PALEJUU KWA KILA KABILA YA TV ULIZO NAZO AU BAADHI ITASAIDIA SANA ,,,,,,,.,
 
Masoud Jamal

Masoud Jamal

Senior Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
135
Likes
45
Points
45
Age
32
Masoud Jamal

Masoud Jamal

Senior Member
Joined Nov 30, 2016
135 45 45
Mkuu Masoud Jamal

Mimi binafsi nahitaji Runinga bapa kuanzia inchi 40 au zaidi, pia nahitaji na jokofu (ikiwa kabila ya Samsung ni vyema zaidi) na lengo langu ilikuwa niagize huko zenjibari.. Sasa imekuwa vyema mfanyabiashara wa huko umejitokeza!

Ombi langu ni kwamba, hebu weka sampuli za bidhaa kadhaa, mfano hizo runinga pamoja na bei zake walau hata tushawishike kukutafuta huko whatsapp
Unaweza tu kuweka hata kwa maandishi tu bila picha..
Mambo ya "bei njoo whatsapp" sio kabisa Mkuu.. Hiyo ni biashara haina haja ya kufanya siri ati hata bei..

Asante!
Bosi napokea ushauri wako. Ila chochote unachohitaji ucone tabu nifate private nitakujibu. Humu just naweka matangazo tu. Lkn kwakweli hakuna kitu ambacho utahitaji ukakosa cc tunaleta mzigo tunauza jumla na reja reja
 
Forum statistics

Threads 1,273,856
Members 490,528
Posts 30,493,607