dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,188
- 2,219
- Thread starter
- #1,781
Wadau bado sijauza nyumba
Wadau bado sijauza nyumba
poa mkuu na asant kunitia moyoUtauza tu hata mwakani
Picha zaidi za nyumbaNyumba nzr sana na inavyumba 3 kimoja self
Inajitegemea kwenye fensi
Bei 250,000/= kwa mwezi
Bunju kubwa yakhe! Boresha tangazo lako.
Poa mkuu hii iko bunju b upande wa kushoto kama unaelekea bagamoyo na ni 1km kutoka lamiBunju kubwa yakhe! Boresha tangazo lako.
Poa sana mkuu na asanteAhsante Kwa taarifa...