Nyumba ipo Tabata sanene
Ni nyumba ya vyumba 3 na kimoja master
Uwani kuna vyumba 2 vya ziada
maji yapo 24/7
MPANGAJI ANALIPA 250,000 KWA MWEZI
Nina shida sana BEI ni MILIONI 25 TU.. HAIPUNGUI
gari linafika mpaka kwenye nyumba ilipo..
PARKING HAINA
Umbali ni km 1.5 tu kutoka barabraa kuu ya lami ya tabata segerea
Wasiliana nami 0677 818283

1.jpg
2.jpg
3.jpg
4.jpg
5.jpg
6.jpg
7.jpg
 
Kiwanja kipo Mbezi Beach Africana upande wa chini. Kina ukubwa wa sqm 800, HATI IPO

Bei ni milioni 130 tu. WAHI SASAA.

MAWASILIANO 0677 818283

 
Plot ina ukubwa wa sqm 2007

Ipo mbezi beach africana zilipo apartments za sea breeze

Inafaa kujenga mall.. Ukumbi.. Maduka na majengo yoyote ya kibiashara na hata makazi

Eneo limezungushiwa uzio kabisa

BEI NI MILIONI 400 (Mazungumzo yapo)

Wasiliana nasi 0677 818283

2689300e-b598-44ef-b9d4-de8363996854.jpg

 
Sasa plot yenyewe ndo hiyo barabara au hiyo njia mbovu mbovu ya watembea kwa miguu?! Ingawaje umetaja plot kuzungushiwa uzio, bado ninachokiona na ukuta kwa mbali ukiwa ng'ambo ya barabara.
 
Sasa plot yenyewe ndo hiyo barabara au hiyo njia mbovu mbovu ya watembea kwa miguu?! Ingawaje umetaja plot kuzungushiwa uzio, bado ninachokiona na ukuta kwa mbali ukiwa ng'ambo ya barabara.
HUO UKUTA MWEUPA WENYE GETI JEKUNDU
 
Nyumba ipo Tabata sanene - MILIONI 27 TU - 0677 818283
Ni nyumba ya vyumba 3 na kimoja master
Uwani kuna vyumba 2 vya ziada
maji yapo 24/7
MPANGAJI ANALIPA 250,000 KWA MWEZI
Nina shida sana BEI ni MILIONI 27 TU.. HAIPUNGUI
gari linafika mpaka kwenye nyumba ilipo..
PARKING HAINA
Umbali ni km 1.5 tu kutoka barabraa kuu ya lami ya Tabata Segerea
Wasiliana nami 0677 818283

2812198_6.jpg
2812197_5.jpg
2812196_4.jpg
2812195_3.jpg

2812194_2.jpg


2812199_7.jpg
 
Back
Top Bottom