Nje ya nyama watoto huna mkuu wa nguruwe...????Karibuni tunapokea order za kitimoto (nyama ya nguruwe) kwajili ya kusambaza jumapili.kilo tunauza elfu 9 pmj na gharama nzima ya kusafirisha order popote ulipo.asante.sms 0756661761/+255627800800 kwa order.
Kwa Kinyakyusa tunasema, LELO PO PAPO! Wapi mama Tuntufye?
Kwa Kinyakyusa tunasema, LELO PO PAPO! Wapi mama Tuntufye?
Lelo po papo!Duh sahani ya kwanza unaipiga then unaiskuma na serengeti lite sita za bariiiidi (9000 tuu). Hafu ndounaanza ipitia ile ripoti ya pili.
Kumbe ndio maana biashara yangu imeshuka sana tangu mlipo anza mfungo....ngojea tumalize mfungo kwanza
Mfungo ukiisha pelekeni Zenji na Tanga...ndani ya siku 2 mtakuwa mabilionea.Karibuni tunapokea order za kitimoto (nyama ya nguruwe) kwajili ya kusambaza jumapili.kilo tunauza elfu 9 pmj na gharama nzima ya kusafirisha order popote ulipo.asante.sms 0756661761/+255627800800 kwa order.
Kilo NNE kwendelea mkuu.kilo tatu kama sio sehemu ya ndani kituoni ama mbezi Tegeta road.Mnafanya delivery kuanzia kilo ngapi
12000 ikipikwa kwa rosti barElfu 9 duh,...ikipikwa tu kwa rosti inakua bei ngapi,?
Watoto wapo ila wachanga bado.sema tunauza project nzima ya nguruwe ni whatssap kama upo interested kununuaNje ya nyama watoto huna mkuu wa nguruwe...????
Karibuni tunapokea order za kitimoto (nyama ya nguruwe) kwajili ya kusambaza jumapili.kilo tunauza elfu 9 pmj na gharama nzima ya kusafirisha order popote ulipo.asante.sms 0756661761/+255627800800 kwa order.
No ulishapita zamani mwaka Jana maeneo Ya mbali haukufika dar wala huku bagamoyoKuna ugonjwa wa kitimoto nimeambiwa upo mjini. Na kwamba tusile nyama. Vipi umepita?
Mapendo.
Mpo wap?dar es salaam auKaribuni tunapokea order za kitimoto (nyama ya nguruwe) kwajili ya kusambaza jumapili.kilo tunauza elfu 9 pmj na gharama nzima ya kusafirisha order popote ulipo.asante.sms 0756661761/+255627800800 kwa order.
. Yes dar es salaamMpo wap?dar es salaam au