Tunauza na kutengeneza furniture aina zote

zootopia jr

Member
Jan 15, 2020
52
50
Tunatengeneza furniture bora, imara na za kisasa kwa bei na fuu. furniture kama kabati, Dressing table, Daining table, stend za TV, kabati za jikoni, kabati za tukani, vitanda aina zote na flem za milango. Tunapatikana kawe kanisani mkabara na mahakama, kwa mawasiliano piga no. 0684085052

IMG-20200116-WA0001.jpeg
IMG-20200116-WA0002.jpeg
IMG-20191226-WA0015.jpeg
IMG-20191226-WA0018.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na aina ya mbao aliyotumia fundi, badhi ya mafundi waga sio waminifu linapokuja swala la kuchagua material kwajili ya kutengeneza bidha, wengi wanakimbilia mbao za muembe za bei rahisi. Ushauri usipende kukimbilia urahisi wa bei chagua bidhaa iliyo bora. Karibu officeni kwetu tatizo kama hilo likitokea ruksa kurudisha
Hizo kabati na vitanda kwann huwa zinatoa poda? Yaan asubuhi ukiangalia uvungu wa kitanda utakuta Kuna poda au ndani ya kabati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom