Tunauza magauni ya harusi kwa jumla na rejareja


Harlow

Harlow

Member
Joined
Jun 4, 2015
Messages
20
Likes
7
Points
5
Harlow

Harlow

Member
Joined Jun 4, 2015
20 7 5
Je unataka kufunga ndoa na bado unawaza jinsi ya kupata nguo nzuri ya ndoto zako? Je unataka kuanzisha biashara ya kukodisha magauni ya harusi? Usitafute mbali. Wasialina na sisi tunasafirisha nguo mbalimbali za harusi na evants nyengine... tembelea page yetu ya instagram @bridal_shoptz na ujionee... nguo unaweka order kulingana na vipimo vyako kwa Dar usafiri bure, mikoani mteja anaongeza kiasi kidogo cha kusafirisha...
Kwa wenye maswali mnaweza tutafuta kwa
Madekisharif@hotmail.com
 

Attachments:

mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
1,326
Likes
479
Points
180
mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
1,326 479 180
Bei hujasema mm nipo kigoma huku nijipange kwa ajili ya kukodishia Wateja wangu wa huku kijij
 
Harlow

Harlow

Member
Joined
Jun 4, 2015
Messages
20
Likes
7
Points
5
Harlow

Harlow

Member
Joined Jun 4, 2015
20 7 5
Bei hujasema mm nipo kigoma huku nijipange kwa ajili ya kukodishia Wateja wangu wa huku kijij
Bei inategemea na aina ya gauni unazonunua mkuu... bei za jumla jumla kuanzia 250000/=
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,485
Likes
6,645
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,485 6,645 280
nipe dili nikusaidie matangazo...

ninamiliki studio ya kisasa yenye proffessional photographer.. tutafute ma model wa kibongo wavae.. wapige photoshoots za ukweli kisha tufanye sponsored adds insta na facebook..

wewe hela yako tu kuanzia models photoshoots in studio na outdoor hadi sponsored adds ambayo mtu hata kama hajakufollow anaona tangazo lako ....nakutengenezea kwa bei nzuri kama wedding lydia
 

Forum statistics

Threads 1,214,266
Members 462,617
Posts 28,507,118