Tunauza Magari Used, Spares Used, Magari yaliyopata Ajali.

Guru Master

Senior Member
Jan 14, 2017
148
500
Nakaribisha wanunuzi wa magari Used in Tanzania. Wanunuzi wa Magari yaliyopata ajali yanayouzwa na watu Binafsi au Makampuni ya Bima.

Magari haya yamekuwa yakinunuliwa kwa ajili ya...
1. Kuyakata na kufanya spares
2. Kuyatengeneza na kutumia
3. Kuyatengeneza na kuyauza

Karibu sana kama utakuwa na mahitaji kati ya hayo au maoni na ushauri mbalimbali.

Kwa spares tunasafirisha mikoani kupitia mabasi hivyo mteja anaenda kuchukua spare yake ambayo tayari inakuwa imeshakaguliwa na mafundi wetu kuona kama inafaa.

Tunajali sana mteja na makubaliano.kwa mawasiliano zaidi

Piga namba ya simu 0684160222.
IMG_20190227_121658_6.jpg
IMG_20190227_121658_6.jpg
IMG_20190227_121541_3.jpg
IMG_20190227_121450_9.jpg
IMG_20190227_121436_9.jpg
IMG_20190227_121212_9.jpg
IMG_20190219_103539_4.jpg
 

Guru Master

Senior Member
Jan 14, 2017
148
500
Used tz au zilizopata ajali? Huwa zinakuwepo unapohitaj unasema sifa na offer yako. Noah kuna model kadhaa. So ni vizuri pia ukasema model gani
 

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
469
250
Hbr Mkuu! Nahitaji pick up ndogo yenye engine ya cc 1000, ila isiwe Suzuki, ukiipata naomba nishtue niangalie uwezo wangu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom