Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

Boss Sina Hela hapo nimesema TU Kwan ukiamua kufua hospital Kuna tatizo
Sasa Kama hauna hela, kwann unataka Kodi ya mwaka mzima? Yaaani mtu alipe 1,250,000 x 12 =15,000,000 mil , then ndo afungue biashara? Utasubir mtume au Yesu ashuke dunian kwa mashart hayo
 
WHATSAPP 0712690760
Mwaka:2005
Engine capacity:1480
km 127865
petrol
Automatic
Engine safi gia Box safi
Ipo: kinondoni
MILL 7 .5
0712690760/0755984282

IMG_20220317_150847_2.jpg
 
NYUMBA HINA PANGISHWA
A).Inavyumba 4 single ambanyo havina nyoo
B).Inavyumba 6 vyenye vyoo
C).ukumbi upo wakuingia watu 20 mpk30
D)Kuna kisehemu kama kaunt
C) Parking ya Gari km 5 hivi
D) maji yakisima
F) Vyoo vya njee vipo 4
Mahali ipo ni temeke mtaa wa boko kalibu na makabulini
PANAFAA KWA BAR NA GEST AU HOTEL NA PIA KWA MAKAZI AU KAMPUN KUKODI

KWAMWEZI KODI 1,250,000 HINAHITAJIKA KODI YA MWAKA 1

PIA KAMA UNAHITAKI KUWEKEZA KUBOMOA NAKUJENGA GOROFA TUNAWEZA HINGIA MAKUBALIANO
CM 0712690760/0755984282View attachment 1979515
Ngoja waje wajasiliamali wa dini kuja kupangisha na kulifanya kanisa wawe wanachezea akili wake za watu wasiojitambua.
 
Mi ni Mchungaji, unapangisha kwa kiasi gani kwa mwezi....nataka kufungua kanisa la kishikaji maana nina mazezeta kibao wananishauri niwatafutie sehemu ya kuwachezea akili na kufanya ufuska.
 
Back
Top Bottom