Tunaunga Mkono Mengi: Mnada wa Vitalu Vya Gesi na Mafuta Usitishwe Mara Moja.


Moscow

Moscow

Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
51
Likes
0
Points
0
Age
39
Moscow

Moscow

Member
Joined Nov 24, 2013
51 0 0
Sospeter Muhongo yuko busy kuwatukana watanzania huku wakiuza nchi. Vitalu vya gesi na mafuta kwa madalali wa nje…ukisikia maajabu ya dunia ndio haya. Ophir wananua vitalu vya mafuta nagesi kwa bei chee na kuyauza kwa makampuni ya nje kwa mabillioni ya dola. Kwa nini tusingeyauza wenyewe. Tunalia hatuna fedha, hata ya kuzalisha umeme wa kutosha huku wapuuzi wizara ya Nishati wanauza nchi yetu? Tanzania siyo shamba la Wazungu na Wachina. Tusikubali huu upuuzi tena. Huu mnada usitishwe mara moja. Hakuna shida tutakayoiona zaidi ya tunayoiona sasa hivi.… Someni hii muamue.

Ophir Sells Tanzanian Gas Rights to Singapore Firm for $1.3 Billion

Ophir OPHR.LN -0.79% Energy PLC has sold a share of a giant natural-gas discovery off the coast of Tanzania to state-owned Pavilion Energy Pte. Ltd. of Singapore for $1.3 billion, U.K.-based Ophir said Thursday.

Shares in Ophir were up 10% at 364.07 pence in late London trading.The deal is the latest in a string of acquisitions by energy-hungry Asian nations in East Africa. It marks the first major deal in Tanzania's natural-gas sector, underscoring the quality of the assets and setting a benchmark for future transactions, analysts said.

Giant gas discoveries in Tanzania and neighboring Mozambique have sparked intense interest from Chinese, Indian and Thai state-run companies, eager to secure long-term natural-gas supplies for their fast growing economies.

Pavilion, which is owned by Singapore state investment fund Temasek, will get a 20% share of Ophir's licenses in Blocks 1, 3 and 4, located in waters off the coast of Tanzania. The deal is contingent on Tanzanian government approval. Read more
 
NullPointer

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Messages
3,480
Likes
731
Points
280
NullPointer

NullPointer

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2011
3,480 731 280
sijui kama watanzania wanaweza kununua, sawa wapo baadhi, n labda njia mbalimbali za kuwawezesha ila kiukweli ni muhimu kama mtanzania ndiye ambaye ange run hizi sehemu, note kua unavyozidi kumfanya mtanzania awe tajiri ndivyo wanavyozidi kuinua uchumi wa nchi na kufungua sehemu nyingine kubwa kubwa za biashara humu nchini, Mengi wengine wanamdharau ila biashara zake zote anazofanya zisingekuwepo tungekua na pengo hapo, matajiri kama Dancote wanaipa Nigeria hela kubwa sana toka nje, Yule mwanamke billionaire ambaye anadeal na mafuta nigeria naye the same thing, hawa jamaa watakupa hiyo $100M watapiga faida zaidi ya mara 50 unashangaa, hapo wakilipalipa vi-tax tena kwa wizi wizi, huku angekua mbongo faida yote ingekaa huku kufungua biashara nyingine kutoa ajira, hawa jamaa watafungua biashara kwao kwa faida wanazotoa huku, hakuna gain nyingine... Whats $100M conpared to $1Billion, wanatucheka kichwani hamna kitu
 
P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,374
Likes
191
Points
160
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,374 191 160
tatizo sera la Tanzania ya mambo ya gesi ushirikishwaji wa local investors ni zero kwani viongozi wengi wanaona wananchi wengi wamelala hawajielewi kwahiyo wana take advantage ya ujinga wa wabongo. ukiwaambia watu unaitajika mtaji mkubwa pesa ambazo wao hawana wanakubali hawajui kuwa ndio maana kuna kitu kinaitwa sera maana yake kutengeza mazingira ili kushirikisha wazawa ili waifidike na technlogia, utaalamu na kiajira na mwishowe mapato yatokanayo na kodi kwahiyo walichokifanya ni kuchukua kipengele cha mwisho cha kodi tu ndio cha maana kwao kwa sababu faida hizi zingine zingewanuifaisha wananchi wa kawaida ambao wao hawana maslahi nao cha msingi wao matumo yao yajae basi
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,373
Likes
10,062
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,373 10,062 280
Mchambuzi njoo huku utoe darsa kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,701
Likes
20
Points
135
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,701 20 135
Profesa Muhongo ni Kibaraka mkubwa wa wawekezaji wa nje hana lolote zaidi ya njaa!
 
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
11,305
Likes
1,633
Points
280
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
11,305 1,633 280
Sospeter Muhongo yuko busy kuwatukana watanzania huku wakiuza nchi. Vitalu vya gesi na mafuta kwa madalali wa nje…ukisikia maajabu ya dunia ndio haya. Ophir wananua vitalu vya mafuta nagesi kwa bei chee na kuyauza kwa makampuni ya nje kwa mabillioni ya dola. Kwa nini tusingeyauza wenyewe. Tunalia hatuna fedha, hata ya kuzalisha umeme wa kutosha huku wapuuzi wizara ya Nishati wanauza nchi yetu? Tanzania siyo shamba la Wazungu na Wachina. Tusikubali huu upuuzi tena. Huu mnada usitishwe mara moja. Hakuna shida tutakayoiona zaidi ya tunayoiona sasa hivi.… Someni hii muamue.
Wameuza vitalu au wameuza share? Kuuza vitalu ni kama wale wahuni ambao walipewa vitalu vya uwindaji; kwamba mtu ananunua vitalu 3, anauza vyote au some of them!

Tukirudi kwenye hoja ya Ophir Energy,walichofanya Ophir Energy ndicho in most cases kinafanyika in energy industry, and in fact and many other large investments! Kampuni inafanya exploration na ikishagundua mafuta/oil, anaanza kutafuta partner(s) kwa ajili ya ku-raise capital. Unaweza kuuza share kwa single investor au unaweza kufanya kama walivyofanya Swala Energy ku-register pale Dar es salaam Stock Exchange. So, hata huyo Mengi anaweza kununua vitalu na kutafuta partner, lakini isije ananunua vitalu halafu anauza share 80% na yeye anabakiwa na 20% kwavile uwezo wake kifedha ndio huo!!! Kama hivyo, tunasema hapana, let TPDC do that!! Hatuwezi kutiwa kiini macho kwamba Vitalu XYZ vinamilikiwa na Watanzania wakati over 80% share inamilikiwa na wageni!!!!! Hao Ophir Energy wameuza ONLY 20% share kwa USD 1.3 billion, zaidi ya mara mbili ya utajiri ulioripotiwa kwamba Mzee Mengi anao.....sasa fanya uwiano, je Utajiri wa Mzee Mengi wa USD 550 million; angenunua % ngapi ya hizo hisa? And, don't forget kwamba hizo USD 550 million sio kwamba zote ni cash money....
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,931
Likes
15,565
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,931 15,565 280
Duuuu Prof Muhongo ni dalali wa mali zetu ashalamba 10% yake ya udalali.
 
VITA VYA KAGERA

VITA VYA KAGERA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Messages
435
Likes
5
Points
0
VITA VYA KAGERA

VITA VYA KAGERA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2013
435 5 0
Mkwaruzano wa TZ na Taifa lolote Duniani, nitatetea TZ na viongozi wake tena kwa moyo mmoja na hata ikibidi damu itamwagika. Lakini tunaporudi hapa nchini na kuangalia utendaji mbovu wa CCM na Serikali yake inayoongozwa na Jakaya, naona wengi wanastahili kunyongwa hadi kufa siku wazarendo wakishika Dora.
Sielewi kwanini wana ushetani kiasi hiki!!!?, wanafanya mema kilo mbili kisha mabaya kilo tano na nusu. Takataka.
 

Forum statistics

Threads 1,275,224
Members 490,932
Posts 30,536,104