Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
434
250
Kama jirani yangu kachimba kisima na anapata maji mengi tu bado utaniambia ni lazima upimaji wa kulipia laki 6?
mkuu, hapa kuna mambo matatu . unaweza ukapata maji kama jiran yako, unaweza pata karibu zaidi au ukapata mbaali zaidi. kahiyo basi jirani yako kupata maji sio jibu la mwisho la upatikanaji wa maji hivyo ni muhimu kufanya survey..........karibu kwa maswali zaidi
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
434
250
Kama mdau wa maendeleo ya kilimo na mifugo, usiache kujielimisha kuhusu uchimbaji wa visima hasa gharama zake na nini hasa huhusika na zoezi zima la uchimbaji. tunatoa ushauri bure. mawasiliano zaidi 0682276767
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
434
250
wadau, poleni na kazi. ni muda mzur wa kutafakari na kujielimisha kuhusu uchimbaji wa sima vyenye maji ya kutosha. maji ndio suluhisho la udumu ili kupoza na kumaliza ukame huu tunaouona .
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
434
250
maji tunyochimba yanafuata taratibu zoote za kitaalamu ili kutodhuru uhai wa mimea, wanyama na binadamu.. hivyo tunazingatia saana afya za mtumiaji kwa umakiniwa hali ya juu.
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
434
250
1642189125316.png
muhimu kinachoongeza aman na utulivu nyumban ni uhakika wa upatikanaji wa maji . hasara kama hizi zina epukika kwa kuwa na uhakika wa maiji kwa ajili ya kisima. karib
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
434
250
kazi yetu ni kuhakikisha unaelimishwa vya kutosha kisha unajipatia huduma bora kwa manufaa ya sasa na badae
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
434
250
habari za asubuhi wadau, siku zote ni furaha kwetu kukuchimbia kisima chenye maji ya uhakika kwani huduma zetu ni zinalenga kuleta furaha kwa wateja wetu siku zote. karibu tukuhudumie , mawasiliano 0682276767/ whatsapp 0752925925
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
434
250
uzima ni zawdi kutoka kwa mungu ......ni vyema tuutumie vizuri ili kuleta tija kwenye jamii tunaoish............bado tunaendelea kutoa huduma zetu bora za kuchimba visima. karibu tukuhudumie
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
434
250
ndugu mteja andaa maswali yako kesho nitaendelea kujibu maswali yote kwa watu wotew waakao uliza . karibu saana usiogope
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
434
250
wasalaam wanajamvi, tunaendelea kutoa huduma zetu za uchimbaji visima kwa gharama nafuu. pia tunafanya utafiti wa maji kabla ya kuchimb, tunasafisha visima na kufanya matengenezo mbalimbali yahusuyo visima. karibu............mawasiliano 682 276767/ whatsapp 0752925925
 

Smt016

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,663
2,000
Geological survey mnapofanya kupiga VES Nyie hutumia kifaa gani terrameter au?
By the way me pia NI mtaalamu wa hydrogeology ktk ofisi ya bonde fulani.i am so interested na hii thread af sikujua kama na nyie kampuni binafsi mnafanya Survey me nilijua sisi TU bonde ndii hufanya na kutoa leseni ya uchimbaji...Leo ndo nimejua so nyie mnatumia kifaa gani View attachment 2070352
Dah ndege JOHN mbona umeuliza swali la namna hii wakati wewe ni mtalaamu wa maji? Hakuna sheria inayozuia makampuni binafsi yasifanye geophysical survey ili mradi iwe kampuni iliyosajiliwa kisheria na pia awe na kibali toka wizarani. Kuhusu kufanya Vertical Electrical Sounding, huwa inategemea na topography ya eneo husika ambayo ndiyo itamfanya mtu afanye selection either apige V.E.S au apige kwanza electro magnetic/ magnetic survey ili ku determine anomaly kisha umalizie na V.E.S
 

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
434
250
Dah ndege JOHN mbona umeuliza swali la namna hii wakati wewe ni myalaamu wa maji? Hakuna sheria inayozuia makampuni binafsi yasifanye geophysical survey ili mradi iwe kampuni iliyodajiliwa kisheria na pia awe na kibali toka wizarani. Kuhusu kufanya Vertical Electrical Sounding, huwa inategemea na topography ya eneo husika ambayo ndiyo itamfanya mtu afanye selection either apige V.E.S au apige kwanza electromagnetic/ magnetic survey kisha ili ku determine anomaly kisha umalizie na V.E.S
asante kwa majibu mazuri. kunywa soda nitalipia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom