Tunatoa huduma ya kusimamia shamba mwanzo mpaka siku ya wewe kuja kuvuna kwa gharama nafuu, mashamba yapo mkuranga.

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
166
Wakulima, kwa yoyote anayehitaji kulima kilimo cha matikitimaji, nyanya,mahindi na nk ambaye hana muda au kwake usimamizi ni changamoto unakaribishwa. Tunatoa huduma ya kusimamia shamba lako kuanzia mwanzo mpaka siku unapokuja kuvuna au kuuza mazao yako.

Gharama zetu ni ndogo sana.

Kwa mawasiliano zaidi 0622925630
 
Gharama nafuu ndio kiasi gani?
 
Take risk guys cyo kutumiatumia tu pesa huku ujawai hata kurisk 50k
Kuna MTU anakunywa elfu 50 Leo hii kwa siku moja hat kukodi shamba anaogopa ni hatari Sana'a nimeshawai kuweka kuweka kweny tikiti lkn cjapata kitu ila nikajifunzaa kitu hadi SAS natusua mdogomdgi
 
Mkuu nakusoma nikiwa bar,
Ila tunasungusia kwakuwa wawekezaji wanahisi wamekuwa uwekezaji aka fursa ya vijana walio na access na mashamba kwa muda unaofikirika ni sahihi.
 
Take risk guys cyo kutumiatumia tu pesa huku ujawai hata kurisk 50k
Kuna MTU anakunywa elfu 50 Leo hii kwa siku moja hat kukodi shamba anaogopa ni hatari Sana'a nimeshawai kuweka kuweka kweny tikiti lkn cjapata kitu ila nikajifunzaa kitu hadi SAS natusua mdogomdgi
Mkuu kilimo ni usimamizi usijidanganye kumwmini mtu watu ssa hawna huruma wanataka kutajirikia kwawengine

Mi nilinunua water pump za mita 200 kwa laki 4 na nauli mpaka sasa sijaanda hata tikiti 1 unaweza kumuua mtu bora ubuni mbinu nyingine sii kumkabidhi mtu kilimo chako

Ni kama kumkabidhi mkeo kwa mme mwenzako halafu anakuaminisha hana shida hta akilala nae
 
Jamaa mmoja alilizwa kwenye tikiti yy hana muda kaweka watu
Na kweli tikiti lilitoka si Mchezo wakamwambia subir subir yawe makubwa kabisa ili upate faida nzuri

Kumbe walishamtafuta Mteja akaja wakavuna wakapewa chao wakalala mbele jamaa kuja shamba jeupe watu hawapo na hawapatikani kwenye simu
 
Wakulima wa mjini na wa mkoani.....pembejeo nzuri ya kilimo, mkombozi wa mkulima karibu. Supergro ndio ukulima wa kisasa, hakuna chemical na ni rahisi kutumia kwa mazao ya aina yeyote....wakulima tuwasiliane 0766317197/0693307877
 
Back
Top Bottom