Ahsante hiyo huduma mimi siitaki labda aje mshana jr
Hahahaaaaa! hatari sana hiyo huduma kiboko tuwaashe watoane wao kwa wao
hakuna hatari yyt mkuu, haina tofauti na kule kwetu nyanchabha kenye,gamasara buhemba nyamongo ochuna na pale kuruya. tuna sema tacho umahe.Hawa maustaadh wana hatari..
kama imeamrishwa basi hapo vita mwanzo mwishoLabda nayo imeamrishwa!