Tunatibu madonda ya tumbo kwa muda wa siku 4 tu

Hosea Ben

Member
Sep 22, 2014
69
15
Tunatibu madonda ya Tumbo yaliyoshindikana kwa muda wa siku 4 tu.
Dawa yetu inatibu siyo kutuliza. Kama ulikuwa huli maharage, dagaa au pilipili kwa ajili ya madonda ya tumbo, baada ya dozi utaweza kula bila wasiwasi.
Wasiliana nasi kwa simu: 0752238263 au 0675519927
 
pesa ngapi dawa yako na mtu anapomaliza dozi na akaacha kupona unamfanyaje?
 
kutibu mnaweza kuwa mnatibu kweli. ila kwa siku nne?
kidonda cha nje(labda mguuni) kisicho pata bughdha ya chakula maji asidi n.k kupona ndani ya hizo siku nne ni kimnembe sembuse huko tumboni?
 
Ungeelezea kwanza
1. Nnini maaana ya madonda ya tumbo

2. yanasababishwa na nini

3. dalili zake

4.Athari zake

5.Dawa yako inafanya nini kwenye visababishi au matokeo ya vidonda hivyo

6.Kama utumbo umeshatoboka je! hiyo dawa yako ni oko kiasi kwamba ukiimeza inaendakuziba pancha ndani kwa ndani

7.Je wizara ya afya na shirika la afya duniani umeshawataarifu kuwa unatibu ugojwa ambao wao wamehangaika miaka mingi bila tiba?

8. Je katika kuipata dawa yako ulifanya utafiti? na kama ni utafiti huoni kuwa unafuata nyayo zilizozua tafurani huko NIMRI?
 
kutibu mnaweza kuwa mnatibu kweli. ila kwa siku nne?
kidonda cha nje(labda mguuni) kisicho pata bughdha ya chakula maji asidi n.k kupona ndani ya hizo siku nne ni kimnembe sembuse huko tumboni?
Sijui wanatumia kiungo gani ktk kufikiria...haya ndio matatizo ya ugumu wa maisha.
 
Ungeelezea kwanza
1. Nnini maaana ya madonda ya tumbo

2. yanasababishwa na nini

3. dalili zake

4.Athari zake

5.Dawa yako inafanya nini kwenye visababishi au matokeo ya vidonda hivyo

6.Kama utumbo umeshatoboka je! hiyo dawa yako ni oko kiasi kwamba ukiimeza inaendakuziba pancha ndani kwa ndani

7.Je wizara ya afya na shirika la afya duniani umeshawataarifu kuwa unatibu ugojwa ambao wao wamehangaika miaka mingi bila tiba?

8. Je katika kuipata dawa yako ulifanya utafiti? na kama ni utafiti huoni kuwa unafuata nyayo zilizozua tafurani huko NIMRI?
CLINICAL hebu rudi tuanzie hapa!
...mkuu cDNA nimetambua uwepo wako kwenye huu uzi!
 
Kama nilikuwa siwezi kula pilipili in four days nitakuwa nakula bila shida...kuna jambo hapa. Najaribu kufikiri ni nini hicho ambacho utanipatia nitumie in four days niwe sina maumivu ya pilipili tofauti na ganzi?
 
inasikitisha taabu zetu ndio mitaji ya wajanja wengi. kikombe cha babu hakikuhitaji chapisho, jarida waka tangazo popote lakini kilivuta watanzania hata tusiowafikiria walikuwa wagonjwa: kwa tangazo la aina yako (siku 4) hukuhitajika kuweka bandiko la kujitangaza humu.
 
Back
Top Bottom