Tunatengeneza Magril kwa bei nafuu

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
Tunatengeneza Magril ya aina mbalimbali kwa bei nafuu...tunakufikia popote ulipo Dar es salaam call 0758 92 90 87 office ipo mtoni kijichi
 

Attachments

  • tmp-cam--1931015776.jpg
    tmp-cam--1931015776.jpg
    162.5 KB · Views: 208
  • tmp-cam-1606980187.jpg
    tmp-cam-1606980187.jpg
    145.7 KB · Views: 81
  • tmp-cam-1940910081.jpg
    tmp-cam-1940910081.jpg
    160.8 KB · Views: 104
hapa tufix magrill ya mteja
 

Attachments

  • 1482512263643.jpg
    1482512263643.jpg
    8.7 KB · Views: 97
  • 1482512262781.jpg
    1482512262781.jpg
    9 KB · Views: 89
Watu humu ishskuwa ugonjwa yaan kutaja bei ni kama kutoa siri za kampuni
Yaani huwa inafika wakati huwa naona kama watoa matangazo ni madalali tu
Sehemu wanazotengeneza magrill zipo nyingi tu sasa kama haweki bei nitajihangaisha vipi kumtafuta wakati najua kuna sehemu yapo
 
Bei inategemea na materials pamoja na ua but kwa dilisha la futi 6 kwa 6 na ua kama hilo juu kwenye picha nililopost bei inaanzia laki moja na 30 hadi laki moja na 50
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom