sajosojo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 1,017
- 619
Kwanini usitaje bei ya saizi kadhaa mfanoinategemea na size ya madirisha or milango pamoja na material but nina uhakika ni nafuu kulinganisha na sehemu zingine
Hizo sampuli hapo juu weka na bei zake kupata mwangainategemea na size ya madirisha or milango pamoja na material but nina uhakika ni nafuu kulinganisha na sehemu zingine
Watu humu ishskuwa ugonjwa yaan kutaja bei ni kama kutoa siri za kampuniUkiweka angalau bei kidogo tangazo linakuwa linavutia
Yaani huwa inafika wakati huwa naona kama watoa matangazo ni madalali tuWatu humu ishskuwa ugonjwa yaan kutaja bei ni kama kutoa siri za kampuni