TUNATENGENEZA BUSTANI ZA KISASA ZA MBOGAMBOGA KWA GHARAMA NAFUU KATIKA ENEO DOGO,


M

Minael Masasi

Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
8
Likes
3
Points
5
M

Minael Masasi

Member
Joined Jan 10, 2019
8 3 5
GREENHOUSE PROJECT, OFFER YA SIKUKUU ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA,

Tunatengeneza greenhouse za ukubwa tofauti kutokana na eneo husika,

a) tunajenga za miti, ambazo hukaa kwa muda wa miaka 8,

b) tunajenga za chuma ambazo zinakaa kwa muda wa miaka 20,

c) tunajenga za aluminum ambazo hukaa kwa muda wa miaka 25,

Tunatengeneza za ukubwa tofauti ambazo ni kama zifuatazo,

1, mita 8 upana na mita 15 ni urefu, tunajenga tunalo funika kwa wavu maalum, ambapo ndani yake tunaweka miche 400 inaweza kuwa nyanya au pilipili hoho za rangi tofauti kama njano na nyekundu, tunaweka mfumo wa umwagiliaji maji, tank la maji lita elfu moja, kwa gharama ya milion 6.

2. Mita 8 upana na mita 25 urefu, tunajenga banda kuweka wavu maalum, tunaweka mfumo wa umwagiliaji maji, tunakupatia miche mia 800, ya zao utakalohitaji kama nyanya, pilipili hoho za rangi tofauti kama njano na nyekundu, tank la maji la lita elfu 2000 gharama yake ni milioni 8.

3. Mita 10 upana 30 urefu , tunajenga banda tunaloweka wavu maalum, tunaweka mfumo wa umwagiliaji maji, tunakupatia miche 1200, ya zao utakalolihitaji kama nyanya au pilipili hoho za rangi, tunaweka tank la kuhifadhia maji la lita elfu 3000, kwa gharama ya milioni 13.

Katika hii miradi ya greenhouse kuna pande mbili mteja na ofisi hivyo mteja anapaswa kufanya yafuatayo;-

1. Kutoa fedha kwaajili ya mradi husika kutokana na size atakayohitaji,

2. Kuandaa eneo la mradi liwe safi na pia kuandaa chanzo cha maji,

3. Kununua au kuandaa mbolea ya samadi,

4. Kununua kamba na waya kwaajili ya kufanya ropping.

Majukumu ya ofisi kwa mteja;-

1. Kujenga jengo la greenhouse ambalo linawekwa wavu, mfumo wa umwagiliaji( drip )

2. Kutoa miche na kupanda miche katika greenhouse,

3. Kufanya installation ya drip na bomba katika tank,

4. Kutoa ushauri wa mimea na kusaidia katika utafutaji masoko.

Namna sahihi ya uhudumiaji wa greenhouse hasa mazao yakishawekwa shambani ni kama ifuatavyo

1. Kuhakikisha miche inapata maji kwa wakati kila asubuhi na jioni nyakati za asubuhi maji yafunguliwe kwa muda wa lisaa limoja na jioni pia lisaa limoja.

2. Kuhakikisha miche inapigwa dawa katika muda utakaopangwa.

3. Kufanya mawasiliano na wataalam kila mara katika kujua maendeleo ya mradi.

Kipindi kizuri zaidi kwa mazao kama ya nyanya kuyapanda ni mwezi wa 9_1 kwa maana soko la nyanya kipindi cha mwezi wa 1_5 uwa juu zaidi,

Kwa punguzo la bei za ufungaji wa Greenhouse size yoyote wasiliana nasi, offer mpaka mwezi wa pili.

Wasiliana nasi,
0657570212, 0745478823
gbwa-20190103182249-jpeg.992291
img-20180809-wa0017-jpeg.992292
20180817_160305-jpeg.992293


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,497
Members 481,367
Posts 29,735,645