Tunatangaza tenda ya kubeba wanafunzi wadogo

Oppomall

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
3,491
3,582
Tunangaza tenda ya kubeba wanafunzi wadogo wa shule( Pre-unit I,II na Class I)
Magari yanayotakiwa ni yenye hali nzuri
Dereva awe mwenye kujali muda.

Dareva awe ni mwenye tabia njema na Mawasiliano mazuri.

Eneo la kazi ni kati ya Mloganzila mpaka Kibaha.

Gari zinazokubalika kutoa huduma ni Noah,Hiace au min bus.

Kwa atakaekua tayari tuwasiliane kwa kutuma ujumbe Pm
Karibuni!

NB: UJUMBE UTUMWE UKIWA NA CONTACT ZA MUHUSIKA NA GHARAMA ZA HUDUMA.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkipata mwenye gari lakini hana dereva naomba tuwasiliane mimi nina sifa zote za kiendesha gari la abiria na nilishafanya kazi ya kuendesha school bus
 
Back
Top Bottom