Tunatambua umuhimu wa picha katika jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunatambua umuhimu wa picha katika jamii

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Apr 13, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  <table align="left" border="0" cellpadding="1" cellspacing="2" width="43%"> <tbody><tr> <td><table border="0" cellpadding="1" cellspacing="3" height="61" width="100%"> <tbody><tr> <td bgcolor="#cccccc" height="55"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td bgcolor="#ffffff"><table border="0" cellpadding="1" cellspacing="3" width="100%"> <tbody><tr> <td height="47"><table border="0" cellpadding="1" cellspacing="3" height="45" width="100%"> <tbody><tr> <td align="center" height="38" valign="top"> <table border="0" cellspacing="3" width="100%"><tbody><tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  4/13/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Asante kwa madawati</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Abass Kandoro, akipeana mkono na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Plan International nchini, David Muthungu baada ya kupokea msaada wa madawati 46 yaliyotolewa na Shirika hilo.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  4/13/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Kwa kinywaji cha miwa</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akisomba miwa kutoka katika mkokoteni akipeleka kwa sehemu kwa ajili ya kutengenezea kinywaji ambacho huwauzia wateja kwa bilauri moja sh 300.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  4/13/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Tunakukumbuka Sokoine</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mama Maria Nyerere (kushoto) na wanafamilia wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine, katika ibaada maalumu ya kuadhimisha miaka 26 tangu alipofariki kwa ajali ya barabarani. Misa hiyo ilifanyika Jumatatu katika kanisa la Mtakatifu Joseph lililopo jijini Dar es Salaam.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  4/13/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Buriani Bakilana</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Sylivester Barongo akitia saini kwenye kitabu cha maombolezo ya marehemu Peter Bakilana, aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafirishaji Majini na Nchi Kavu (Sumatra) aliyefariki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Marehemu atazikwa keshokutwa kijijini kwao Katoma, Bukoba.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  4/13/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Azimio la Arusha jema</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mtoto wa Rais wa kwanza wa Ghana, Hayati Kwame Nkrumah, Samia akifurahia jambo wakati wanazuoni walipokuwa wakichangia mada kwenye kongamano la pili la wanazuoni linalojadili Azimio la Arusha lililoanza Jumatatu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa na Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere ambalo litafanyika kwa siku nne.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  4/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Ngoja niweke jiwe la msingi</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam,Isa Shabani Bin Simba, akiweka jiwe la msingi Jumatano la ujenzi wa shule ya sekondari inayojengwa na BAKWATA eneo la Mkoma Wilayani Pangani,Tanga kwa ufadhili wa Benki ya Dunia ya Kiislam.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  4/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Pole sana kwa maumivu</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mwenyekiti wa CCJ, Richard Kiyabo (kushoto), akizungumza na mwanachama mpya, Fred Mpendazoe,baada ya kuruhusiwa juzi kutoka katika hospitali ya Dk Summer,alipokuwa amelazwao baada ya kukabwa na kuporwa mkoba wake na watu wasiojulikana hivi karibuni. Katikati ni mke wa mwenyekiti huyo, Yunia Kiyabo.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  4/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Tunakukumbuka Amani Abeid Karume</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Viongozi wa kitaifa wakiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete (Watano kulia) na Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume (Wasita kulia) wakiomba dua jana katika kaburi la muasisi wa mapinduzi ya Zanzibar Hayati Mzee Abeid Amani Karume lililopo katika ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar aliyetimiza miaka 38 tokea kifo chake. Picha na Ikulu</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  4/7/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Hii ndio timu ya 2020, hata kombe la dunia inaweza kuingia</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Watoto kama hawa tukianza kuwatunza na kuwaendeleza kisoka hapo baadae Tanzania itakuwa mbali kimichezo, tuwatengenezee viwanja vya michezo, walimu</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  4/7/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Dalali watu wanampiga vijembe kuwa hafai kuongoza</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mwenyekiti wa Simba Hassan dalali akiwa na wanachama wa Klabu ya Simba, Sijui ndo kampeni zimeanza?, Mzee kaza buti vijana wamedhamilia kukung'oa.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/27/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Chadema inatisha inavuna wanachama</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wananchi wa kijiji cha Mima katika jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma wakiwa katika foleni kuchukuwa kadi kwaajili ya kujiunga na Chadema baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara wa oparesheni sangara uliofanyika kijijini hapo juzi. Picha na Mpigapicha Wetu</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/27/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Kampeni zimeanza? huu ni uhamasishaji tu</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Salum Londa (kushoto) akizungumza na wakazi wa eneo Bunju A, juu ya uwekaji mazingira kuwa safi wakati wa ziara yake ya kukagua usafi katika Manispaa hiyo. Picha na Peres Mwangoka</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/27/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Mkurugegenzi akikabidhi jezi</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mkurugenzi wa Kampuni ya Kariakoo Baazar, Nurdin Abdallaah (wa kwanza kutoka kulia) akimkabidhi kiongozi wa timu ya soka ya Cosmopolitan ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, Najimi Abdallaah (Katikati) msaada wa jezi kwa ajili ya kuzitumia katika michuano ya soko kombe la taifa juzi.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/26/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">UKARABATI:BARABARA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wakazi wa mjini Kigoma wakishangaa kazi inayofanyika ya ukarabati wa barabara ya ujiji hadi mjini ambapo kampuni ya kichina inaendelea na kazi hiyo. Picha na Leonard Mubali)</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/26/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MAZIWA:NAUZA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akipima maziwa katika chupa ya lita moja kwa ajili ya kuwauzia wateja wake katika mtaa wa Mlapakolo mjini mkoani humo ambapo kipimo hicho huuzwa kati ya sh 600 hadi 700. Picha na Juma Mtanda</td></tr></tbody></table></td> </tr> </tbody></table></td> </tr> </tbody></table></td> </tr> </tbody></table></td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td class="captno" bgcolor="#ffecc4">
  </td> </tr> <tr> <td class="captno" align="center" bgcolor="#ffffff" valign="middle">
  </td> </tr> </tbody></table>
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mzizi asante kwa picha nzuri za jamii ya Kidanganyika
   
 3. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  asante kwa picha...

  leo nimemjua hassan dalali nilikuwa namsikia/nakusikia tu...LOL
   
Loading...