Tunatambua umuhimu wa picha katika jamii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,041
<table border="0" cellspacing="3" width="100%"><tbody><tr><td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/4/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MANANASI:YANAUZWA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cyanauzwa.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Baadhi ya wafanyabiashara wakisubiri kununua mananasi kutoka kwa wauzaji wa jumla eneo la Mwaloni mjini Mwanza jana.Mananasi hayo yanatoka katika Wilaya ya Geita na wilaya ya Biharamulo eneo la Buselesele.Picha na Emmanuel Herman</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/4/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">TAIFA STARS VS UGANDA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cjumajabu.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mchezaji wa Taifa Stars,Juma Jabu(kulia) akichuana na Tony Odur wa timu ya Taifa ya Uganda katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.Picha na Emmanue Herman</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/4/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MTOTO:NASAFISHA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cchild.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mtoto akisafisha gari lililokuwa katika foleni katikati ya jiji la Mwanza jana ili kijipatia kipatu cha kujikimu na maisha. Jiji hilo ni moja ya miji inayokabiliwa na tatizo la watoto wengi wa mitaani. Picha na Emmanuel Herman</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/4/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">NASIMAMISHA:VUKENI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cvukeni.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Askari wa usalama barabara Manispaa ya Morogoro aliyetambuliwa kwa jina moja la Mandela akisimamisha magari ili wananchi wavuke katika tuta lililopo barabara ya Lumumba stendi ya daladala yaendayo nje ya mji huo.Picha na Juma Mtanda</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">

</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">
</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/4/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">BIASHARA:YA MATUNDA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cmatunda.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mfanyabiashara wa kuuza maparachichi Manispaa ya Morogoro huku akiwa na mtoto wake akisubiri wateja wanaonunua maparachichi kwa bei ya jumla katikati ya mji huo jana.Picha na Juma Mtanda</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/4/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">KAZI:KUCHEKECHA KOKOTO</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Ckokoto.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wavuvi wakifanya wakishona nyavu za kuvulia dagaa katika soko la samaki la feri jijini Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya msimu wa uvuvi wa dagaa kipindi cha giza.Picha na Peres Mwangoka</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/4/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">BIASHARA............</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cgaribovu.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Tumaini Haruna akikata gari kwa shoka kwa lengo la kupata chuma chakavu eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam jana. Tumaini alisema vyuma hivyo chakavu huuza kwa sh 200 kwa kila kilo.Picha na Michael Jamson

</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/4/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">SEMINA:UTUNZAJI CHUMVI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cchumvi.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wajumbe kutoka Taasisi mbalimbali wakisikiliza mada,katika Semina ya utunzaji wa Chumvi yenye madini joto,semina hiyo ilifanyika jana katika ofisi ya Shirika la Kuhudumia Watoto laUmoja wa Mataifa (UNICEF) jijini Dar es Salaam.Picha na Michael Matemanga</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/4/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MAANDAMANO:SIKU YA WANAWAKE</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cwanawake.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Baadhi ya wakinamama wakiambatana na wanaume kwenye maandamano ya ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya mwanamke Duniani jijini Dar es Salaam jana,ambapo kilele chake ni tarehe 8 mwezi huu.Picha na Michael Jamson</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/4/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MATENGENEZO:YANAENDELEA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cyanaendelea.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Ndege ya ATCL,iliyopata ajali kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza jumatatu,ikiwa kwenye maegesho ya uwanja huo baada ya kuodolewa kutoka eneo la ajali mapema jana asubuhi,huku mafundi wakiendelea na matengenezo.Picha na Emmanuel Herman</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/3/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">HATARIDARAJA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cwatudaraja.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wananchi wakipita juu ya reli ambalo mbao zake za sehemu ya waenda kwa miguu zimeibwa kwenye reli eneo la Mjipya.Picha na Juma Mtanda. Picha Juma Mtanda</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/3/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MANYEMA VS MAJIMAJI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cwaterwater.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mchezaji wa Manyema Benedict Ngassa(kushoto) alipoipatia timu yake goli la pili katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Uhuru na timu ya Majimaji wakati wa ligi kuu ya vodacom,manyema ilishinda goli 2-1.picha na Michael Matemanga.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/3/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MAFURIKO:SHAMBANI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cshambani.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mmoja wa mabwana shamba Ally Kasi akishangazwa na jinsi maji yalivyo zingira katika shamba la mkonge lililop Wialaya ya Kilosa Mkoani Marogoro. Picha na Jimmy Mengele</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/3/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MVUA!.....</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cmvuataifa.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mkazi wa Rieta eneo la Makoka mwisho jijini Dar es Salaam, Nyangige Elias akimvusha daraja wanafunzi wa darasa la kwanza,Sheila Rashid anayesoma shule ya msingi Makoka katika Daraja lililobozolewa na mafuliko kufuatia mvua za masika zinazoendelea kushesha katika baadhi ya maeneo ya jiji.Picha na Peres Mwangoka</td></tr></tbody></table>
 
shukran! ila huyo muuza matunda anauza maembe sioni maparachihi kama Juma mtanda anavyotaka tuamini, au mimi sioni vizuri??
 
Sasa huyo anayehangaika na kokoto anashona nyavu gani ambazo hazionekani? Au yuko mgodini na pengine anajenga?
 
Natamani sana mananasi hayo!
Baada ya kuyaona, nakuhakikishia kwamba leo familia yangu lazima wayapate!..huh!
 
Nikiona tu Taifa star na team nyingine hapo naishiwa nguvu kabisa kwani mpaka sasa sijaelewa kuana tatizo gani kwa hawa wachezaji wetu au ni mbinu ya kumwondoa Maximo?? au hawa wachezaji wetu hawabebekiiiii? Jamani?

Mara ngapi wanacheza na Uganda na wameshindwa kabisaaa kuwasoma mchezo wao
 
thanx,nimezipenda picha hizi,ziko tofauti kidogo na zile zinazopendelea kuwekwa huku mara kwa mara za vibikini,tattoo makalioni,warembo nusu uchi n alike.hizi ni nzuri zaidi!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom