Tunatambua umuhimu wa picha katika jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunatambua umuhimu wa picha katika jamii

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Feb 11, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,772
  Likes Received: 4,914
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="1" cellspacing="3" width="100%"><tbody><tr><td class="mwana" bgcolor="#e6e6e6">
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" align="left" bgcolor="#f0f5fb" height="133" valign="top"> <table border="0" cellspacing="3" width="100%"> <tbody><tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/10/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">BUNGENI:MAJADILIANO</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Waziri Mkuu,Mizengo Pinda(katikati),akizungumza na Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, Edward Lowassa(kulia),na Mbunge wa Bariadi Magharibi,Andrew Chenge nje ya ukumbi Bunge Dodoma jana.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/10/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">WAHARIRI:KARIBUNI BUNGENI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Spika wa Bunge,Samuel Sitta(kushoto) akisalimiana na mhariri wa gazeti la Mwananchi Jumapili,Daniel Mwaijega na mhariri wa makala wa Mwananchi,Rashid Kejo(katikati) walipotembelea Bunge mjini Dodoma jana.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/10/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">DAKTARI:ACHAMA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Daktari bingwa wa meno hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam,Sameer mbonde,akimfanyia uchunguzi wa meno mwanafunzi Gloria Simba,wa shule ya Fountain gate jijini,mara baada ya kuwafundisha somo la utunzaji wa meno na kinywa,jana.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/10/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">Hatari.........</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Kingo za barabara ya Ocean jirani na viwanja vya Ikulu ikiwa imeliwa na mawimbi ya bahari na kuhatisha usalama wa barabara hiyo.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/10/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MEYA:TUDHIBITI UHUNI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Baadhi ya viongozi wa wafanyabiashara katika soko la mchikichini,Dar es Salaam,wakimsiliza meya wa Manispaa ya Ilala Abuu Juma,wakati wa mkutano wa kijadili kudhibiti vitendo vya kihuni vinayofanywa na baadhi ya wafanyabaishara kutokana na kutokuwepo kwa ulinzi.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/10/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">SHEREHE:KUHITIMU</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Kamanda wa vijana CCM Mkoa wa Mbeya Stephen Mwakajumilo,akizungumza na wahitimu na wazazi shule ya Sekondari Southern highlands wakati wa mafali ya pili ya kidato cha sita yaliyofanyika jijini Mbeya.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/10/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">PIKIPIKI:NAIVUTA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Askari wa kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu mkoani Morogoro,akisaidia kuivuta pikipiki ya mwenzake kwa kamba baada ya pikipiki hiyo kuharibika.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/10/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MIHOGO:NAIKAANGA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mwananke akikaaga mihogo kwa ajili ya biashara kama alivyokutwa eneo la Buguruni Malapa Dar es Salaam,jana.Akiana mama wengi wamejiingiza katikia baishara ndogo ndogo ili kukabiliana na ukali wa maisha na kupuguza kutegemea wenza wao katika kuendesha maisha yao ya kila siku.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/10/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">BUNGENI:NAWASILISHA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mjumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Profesa Raphael Mwalyosi akiwasilisha taarifa ya kamati yake kuhusu athari za mazingira katika mgodi wa North Mara Bungeni Dodoma jana.
  </td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MATOKEO:KIDATO CHA NNE</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wanafunzi waliomaliza kidato ch nne pamoja na ndugu na jamaa zao wakitafuta ya mtihani yao kupitia njia ya mtandao(Internet) kama walivyokutwa jana na mpigapicha wetu jijini Dodoma baada ya matokeo hayo kutangazwa juzi na Baraza la Mitihani la Taifa.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">JENEZA:SERIKALI IMETUZIKA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Daladala ikipita karibu na taa ya barabarani iliyopo katika barabara ya Dar es Salaam mjini Dodoma iliyogongwa na gari ambalo halijafahamika mwishoni mwa wiki.Ajali nyingi zimeelezwa kuwa zinazokana na uzembe wa madereva.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">AJALI:KIOO KIMEVUNJIKA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Daladala ikipita karibu na taa ya barabarani iliyopo katika barabara ya Dar es Salaam mjini Dodoma iliyogongwa na gari ambalo halijafahamika mwishoni mwa wiki.Ajali nyingi zimeelezwa kuwa zinazokana na uzembe wa madereva.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MKUTANO:CHADEMA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Kaimu katibu mkuu wa wa baraza la vijana la Chadema,John Mnyika wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu uchaguzi wa baraza hilo katika makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam jana.Pamoja naye ni afisa mafunzo wa chama hicho,Regia Mtema.
  </td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MKUTANO:NAHUTUBIA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Naibu Katibu wa Idara ya Itikadi na uenezi ya CCM Taifa,Jumanne Akwilombe akihutubia wakazi wa mjini Bumbuli hivi karibuni, Akwilombe alifanya ziara Wilayani Lushoto kwa ajili ya kukisafisha chama hicho baada ya kupita kwa oparesheni Sangara mwishoni mwa mwaka jana.
  </td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  2/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">NAKUTUNUKU:CHETI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Naibu gavana wa benki kuu (BoT),Juma Reli,akimkabidhi cheti mfanyakazi wa ofisi ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikal(CAG)Mwanaidi Said,kwa kutumikia ofisi hiyo kwa muda wa miaka 40. Tukio hilo lilifanyika kwenye sherehe ya mwaka mpya ya ofisi hiyo jijini Dar es Salaam wisho wa wiki.</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> </tbody></table> <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="750"><tbody><tr><td><table border="0" cellpadding="1" cellspacing="2" width="100%"><tbody><tr><td align="left" valign="top" width="71%"><table border="0" cellpadding="1" cellspacing="2" height="266" width="100%"><tbody><tr><td align="left" height="262" valign="top"><table align="center" border="0" cellpadding="5" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td height="33">
  </td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table></td></tr><tr><td align="center" height="19" valign="middle"><link href="http://www.mwananchi.co.tz/mwananchi.css" rel="stylesheet" type="text/css"> <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="750"> <tbody><tr> <td width="30%">
  </td></tr><tr> <td colspan="3" bgcolor="#2a6585"><table border="0" cellpadding="1" cellspacing="2" height="41" width="750"> <tbody><tr> <td class="footernote" align="left" height="37" valign="top" width="134">
  </td> <td class="footernote" align="left" valign="top" width="135">
  </td> <td bgcolor="#2a6585" width="149">
  http://www.mwananchi.co.tz/mwanaglob.asp


  </td> <td width="157">
  </td> <td align="center" width="60">C</td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mmmmh
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 14,794
  Likes Received: 1,431
  Trophy Points: 280
  sure thing!
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,632
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Njia nyingi zitatumika kuwasafisha mafisadi machoni mwa wadanganyika pamoja na utumiaji wa picha!!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...