Tunatambua umuhimu wa picha katika jamii Part 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunatambua umuhimu wa picha katika jamii Part 2

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 11, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellspacing="3" width="100%"><tbody><tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/10/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">JEZI ZIAMSHE HAMASA YA USHINDI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mkurugenzi wa Kampuni ya Kariakoo Baazar, Nurdin Abdallaah (wa kwanza kutoka kulia) akimkabidhi kiongozi wa timu ya soka ya Cosmopolitan ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, Najimi Abdallaah (Katikati) msaada wa jezi kwa ajili ya kuzitumia katika michuano ya soko kombe la taifa juzi. (Na mpiga picha wetu)</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/9/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">SAVIO VS CHANG'OMBE</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya savio,waziri gumbo akijaribu kufunga katika mechi dhidi ya vijana ya chang'ombe katika mashindano ya kikapu ya mkoa wa Dar es salaam</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/9/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">SHABAHA:KUTULIZA GHASIA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Askari wa mkoani Singida wakifanya onyesho la kutuliza ghasia kwa Inspekta Jenerali wa Polisi,Said Mwema alipofanya ziara mkoani humo kuangalia hali ya usalama na mabolesho ya jeshi hilo.Picha na Hassan Mndeme - Polisi</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/9/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">GWARIDE:KWA JAJI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mwenyekiti wa jopo la majaji wa Mahakama ya Rufaa Jaji Eusebia Munuo,akipokea heshima baada ya kukagua gwaride la askari wa FFU ikiwa n maadhimisho ya ufunguzi wa kikao cha usilikizaji wa rufaa 33 za Tanga,kikao hicho kitafanyika hadi machi 23 mwaka huu.Picha na Burhani Yakub</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/9/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">ADHA....</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Gari lenye shehena ya maji likiwa limekwama kwenye tope katika barabara kuu ya Arusha- Singida eneo la wilaya ya Hanang juzi barabara hiyo inapitika kwa taabu kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.Picha na Mussa Juma</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/9/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">KATAKIU:MAJI YA MADAFU</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Raia wa nje wakinywa madafu ili kukata kiu kutoka na jua kali katika soko la Kisutu jijini Dar es Salaam jana.Picha na Fidelis Felix</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/9/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">WANAWAKE:SIKU YETU</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wanawake wa mkoa wa Dar es Salaam wakishangilia katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo kitaifa yalifanyika Mkoani Tabora.Picha na Fidelis Felix</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">BURUDANI.....</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakionyesha mashabiki wa taarab naman ya kucheza Ngwasuma juzi usiku jijii Dar es Salaam.Picha na Salhim Shao
  </td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">SIKU YA WANAWAKE:KILIMO KWANZA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mwanamama,Awanga Paul akimwagilia bustani yake ya mchicha iliyopo Mabibo Relini jijini Dar es Salaam kama alivyokutwa na mpigapicha wetu jana.Leo ni siku ya Wanawake Duniani ambapo nchini bado wanawake wanaongoza kwa kutoa mchango mkubwa katika sekta hii ya kilimo.Picha na Edwin Mjwahuzi</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">UJENZI:DARAJA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mafundi wakiendelea na kazi ya kujenga kingo za daraja la treni wilayani Kilosa mkoani Morogoro kufuatia kualibiwa na mafuriko ya mvua yaliyoikumba wilaya hiyo hivi karibuni.Picha na Zahra Mussa</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">UKAGUZI:DARAJA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Waziri wa Miundombinu,Dkt.Shukuru Kawambwa(Kulia) akikagua ujenzi wa njia ya maji katika Daraja la Kiberege lililopo wilayani Kilombero ambalo limekamilika hivi karibuni,serikali imetumia sh 2.2 bilioni katika ujenzi wa daraja hilo,katikati ni mkuu wa wilaya hiyo Evalisti Ndikilo.Picha na Samuel Msuya</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MNADA:KANISANI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT),Domin Wanyika akinadi kuku mbele ya Askofu mkuu wa kanisa hilo Dk Alex Malasusa,wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la mtaa wa Kivule,Dayosisi ya Mashariki na Pwani jijini Dar es Salaam jana. Kuku huyo alinunuliwa kwa Sh50000. Picha na Zacharia Osanga</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">KUABUDU.....</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Waumini wa kanisa liitwalo Nyumba ya Ufufuo wa Uzima lililoko Ubungo jijini Dar es Salaam,wakiwa kwenye mahema pembeni mwa barabara ya Morogoro baada ya kanisa hilo kufurika kwenye ibada jana.Picha na Silvan Kiwale</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/8/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MAADHIMISHO;SIKU YA WANAWAKE</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Waziri wan chi,Ofisi ya Rais (Utumishi wa Umma),Hawa Ghasia (wapili kushoto) akishiriki katika maandamano ya sauti muhimu ya kuongoza wanawake yalioanzia Ukumbi wa Alliance France hadi viwanja vya Karimje jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa leo.Picha na Salhim Shao</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/5/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">WASANII:NGOMA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wasanii wa kikundi cha ngoma cha Super Kamambe wakitoa burudani kwenye maandhimisho ya awali ya siku ya mwanamke Duniani jijini Dar es Salaam jana,ambapo kilele chake ni tarehe 8 mwezi machi.Picha na Michael Jamson</td></tr></tbody></table>
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
  </td> <td width="606"> PUNDA CHOTARA!??

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Hata wanayama nao wanapovunja amri ya sita huweza kuumbuka kwa kuzaa mtoto 'chotara' kama huyu!

  </td></tr></tbody></table>
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
  </td> <td width="606"> MAMBO YA KISASA HAYO!!

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ... Mh! hii ni lap top au ....

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ... weweee kama nanawa vile.......

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ... Dah! chombo cha ukweli, kama pochi!!??

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  .... hata ukitaka kuandika hakuna shida

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ... Hapo vipi!!??

  </td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="38%">
  </td> <td class="news1" align="left" width="62%">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table>
  <iframe allowtransparency="true" marginwidth="0" marginheight="0" src="http://www.globalpublisherstz.com/ActiveX/Blocked/365DD22B508E3D0EE94B940DA35064DB/www.globalpublisherstz.com/engine/ajax/pages.php" scrolling="auto" frameborder="0" height="114" width="530"></iframe>​
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

  </td> <td width="606"> KIGOGO WA CHADEMA AJIONDOA

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Felix Mkosa (25), leo ametangaza rasmi kujiondoa kwenye chama hicho kwa kile alichoeleza kuwa amekerwa ufisadi na ukabila uliojaa kwenye chama hicho.
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Bw. Mkosa akiwa katika pozi baada ya kutangaza kujiondoa kwenye chama hicho katika mkutano wake na vyombo vya habari jijini Dar mchana huu.

  SERENGETI WAANZA MAZOEZI
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana ya umri wa chini ya miaka 18, Serengeti Boys, imeanza rasmi mazoezi katika Uwanja wa Karume jijini Dar kama walivyonaswa na kamera yetu.

  MGAMBO WA LUKUVI WAFANYA TIMBWILI
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mgambo wa Halmashauri ya jiji la Dar ‘Watoto wa Lukuvi’ wakisambaratisha meza za Wamachinga maeneo ya Posta Mpya mchana huu.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Baadhi ya mgambo wakionekana kubeba bidhaa za Wamachinga waliokimbia. Baadhi ya watu wamedai mgambo hao baada ya kupora bidhaa hizo huzigeuza mali yao au kuwauzia tena Wamachinga hao.​


  </td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="38%">

  </td> <td class="news1" align="left" width="62%">| </td> </tr> <tr> <td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table> <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

  </td> <td width="606"> YANGA YAICHAPA KAGERA DAKIKA ZA NYONGEZA

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">TIMU ya Yanga jana iliepuka lawama baada ya kuifunga goli la nyongeza timu ya Kagera Sugar, baada ya dakika tisini kumalizika timu hizo zikiwa sare ya bao 1-1.
  Kabla ya dakika za nyongeza kumalizika Athumani Idd ‘Chuji’ aliipatia timu yake bao la kuongoza na kugeuza matokeo na Yanga kuibuka mbabe kwa mabao 2-1.
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Beki wa Yanga, Shadrack Nsajigwa (kushoto) na beki wa Kagera Sugar, Msafiri Juma, wakaiwa kwenye hekaheka za kuwania mpira karibu na lango la Kagera.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa (kushoto) akianguka baada kukumbwa na beki wa Kagera, Salvatory Ntebe.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Salvatory Ntebe (aliyekuwa hewani) akihamisha hatari golini kwake.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Beki wa Yanga, Shadrack Nsajigwa, akiokoa hatari golini kwake mbele ya mshambuliaji wa Kagera.

  </td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="38%">
  </td> <td class="news1" align="left" width="62%">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> </tbody></table> <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td height="1">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

  </td> <td width="606"> WASHINDI DROO NDOGO YA BAHATI NASIBU YA ‘SHINDA GARI’ WAPATIKANA

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">WASHINDI watano wa droo ndogo ya bahati nasibu ya ‘Shinda Gari” aina ya Toyota Vitz inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, wachapishaji wa magazeti pendwa ya Ijumaa, Championi, Ijumaa Wikienda, Risasi, Amani na Uwazi wamepatikana, jana jijini Dar es Salaam.
  Washindi hao ni Semeni Mngopo wa Dar es Salaam aliyejishindia Cherehani; Hamadi Sufian wa Tanga aliyeondoka na Baiskeli; Richard Eukwa wa Tabora aliyejishindia redio ya kisasa aina ya Rising Home Theatre; Paulo Charles na Edwin Kennedy wote wa Dar waliojishindia Jezi.
  Droo hiyo ilichezeshwa stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani, Ubungo na kushuhudiwa na mamia ya wananchi, maafisa kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya Kubahatisha na kupambwa na burudani kibao.
  Droo kubwa inatarajiwa kuchezwa mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu ambapo mshindi ataondoka na gari aina ya Toyota Vitz.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Afisa kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya Kubahatisha, Mrisho Milao , akikagua masanduku yenye kuponi kabla ya kuanza kwa mchezo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Kuponi zikimwagwa tayari kwa kuchezeshwa bahati nasibu hiyo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Afisa Utawala wa Global, Soud Kivea, akimfunga kitambaa usoni Bi. Fatuma Haroun ambaye iliombwa kuchanganya kuponi na kuchukua moja kwa ajili ya kumtangaza mshindi wa Jezi.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Bi.Fatuma akichanganya rundo la kuponi kutoka mikoa yote Tanzania.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Bw.Mohamed Issa, mkazi wa jijini, akisoma kuponi ya mmoja wa washindi katika bahati nasibu hiyo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (mwenye mawani), akimpa zawadi ya kopi ya filamu ya ‘Fake Pastors’, Bi.Zinduna Mohamed ambaye alijitolea kuchanganya kuponi kwa ajili ya mshindi wa Cherehani.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Abdallah Mrisho akiongea na vyombo vya habari mara baada ya droo hiyo kumalizika.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Soud Kivea (kulia) akimkabidhi mwakilishi wa magazeti ya Global Publishers, Mkoani Tabora, Bw. Larika, radio ya Home Theatre kwa ajili ya kumpelekea mshindi wa zawadi hiyo Bw.Richard Rukwa ambaye anatokea mkoani humo.


  </td></tr></tbody></table>
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="606"> KASHESHE LA USAFARI!! BONGO KUNA NAFUU!!!

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12"> </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]

  </td></tr></tbody></table>
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
  </td> <td width="606"> KISIMA CHA JAY-Z MWANANYAMALA BADO TEGEMEO

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12"> </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top"><!--colorstart:#000066--><!--/colorstart-->KISIMA cha maji safi alichozindua msanii nyota wa muziki kutoka nchini Marekani, Jay Z ambaye aliongozana na mpenzi wake, Beyonce, kilichopo maeneo ya Mwananyamala kwa Mama Zakaria, bado ni tegemeo kubwa kwa wananchi wa eneo hilo, ambapo kimesaidia kuwaepusha na kero ya uhaba wa maji. Mtandao huu ulitembelea eneo hilo leo na kukuta kisima hicho kikiwa kinatunzwa kama mboni ya jicho na wananchi huku mazingira yake yakiwa safi.
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Jay Z
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->

  Jiwe la msingi lililowekwa wakati wa uzinduzi wake<!--colorend--><!--/colorend-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Hiki ndicho kisima kilichozinduliwa na Jay Z mwaka 2006 alipozulu Tanzania, kama kilivyokutwa na paparazi wetu leo.

  </td></tr></tbody></table>
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
  </td> <td width="606"> KAZI KWENU WAREMBO!

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12"> </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">Je! huu ni urembo au balaa? cheki picha hizi alafu utoe maoni yako, vipi dada kapendeza au we unaonaje?

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Wigi mpaka machoni, iga ufe!!​

  </td></tr></tbody></table>
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Tunatambua umuhimu wa picha katika jamii <table border="0" cellspacing="3" width="100%"><tbody><tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/11/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">ULINZI:MAHAKAMANI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Kilimanjaro wanaowalinda watuhumiwa wa kesi ya uporaji wa sh234 Milioni mali ya benki ya NMB Tawi la Mwanga wakilinda Mahakamani ya mkoa huo jana wakati kesi ya watuhumiwa hao ambao ni pamoja na raia wawili wa Kenya ilipokuwa ikiendelea.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/11/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">KATIBU MKUU PHILEMON LUHANJO</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo akifungua jana mkutano wa siku tatu wa maafisa Mipango na wachumi kutoka Serikalini unaoendelea mjini Morogoro.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/11/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">TASWIRA KATIKA TAIFA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Baadhi ya Askari wa jiji la Dar es Salaam wa Manispaa ya Kinondoni wakiwa wamejazana kwenye gari katika barabara ya Ali Hassani.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/11/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">JAJI BOMANI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mwenyekiti wa Kamati Tekelezi ya Tasnia ya Uzinduaji Tanzania (EITI), Jaji Mstaafu, Mark Bomani maswali kwa waandishi wa habari jana baada ya utiaji saini wa waraka wa makubaliano kati ya Serikali na Kamati yake yenye lengo la kuendeleza na kudumisha uwajibikaji na uwazi kwa kutoa taarifa kwa umma juu ya mapato ya uvunaji wa rasilimali za madini, gesi na mafuta.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/11/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MGENI:KARIBU NIGERIA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Makamu wa Rais na Kaimu Rais wa Nigeria, Dr. Goodluck Jonathan (kushoto) kuingia kwenye ukumbi wa mazungumzo yao kwenye hoteli ya Transcorp Hilton jijini Abuja, Nigeria anakohudhuria mkutano kuhusu Maendeleo ya biashara na viwanda vya kilimo barani Afrika. Pinda alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano huo.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
  3/11/2010​
  </td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">NIKO FITI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akisoma gazeti la mwananchi jana katika hospitali ya Shree Hindu Mandal ya jijini Dar es Salaam. Maalim Seif aliyelazwa katika hospitali hiyo toka Ijumaa baada ya kusumbuli na ugonjwa wa mkamba (bronchitis) anatalajiwa kutoka leo baada ya afya yake kuendelea vizuri.</td></tr></tbody></table>
   
Loading...