Tunatakiwa kulinda mipaka yetu kwa gharama yoyote

mchlmmnl2

Senior Member
Jul 13, 2013
168
53
Ndugu zangu watanzania nchi ili iwe taifa lenye nguvu na imara tunatakiwa pia kulinda mipaka yetu kwa kuhakikisha kua mipaka yetu hakuna kiumbe anaichezea. Hivyo nahimiza pia jeshi letu kuwa tayari kuilinda na kuipigania mipaka yetu kama moja ya majukumu yake muhimu na hilo linawezekana kwa kua na vifaa vya kisasa na kuacha siasa katika ulinza
China Defense Blog: Rurmor of the day: The last J-7s.
 
Back
Top Bottom