"Tunataka viongozi watakao kipigania chama" JK

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,347
6,471
Mimi nilifikiri CCM wanataka viongozi watakao kiongoza chama vizuri lakini wanataka wale watakao kipigania kama alivyoongea mwenyekiti wake JK (PhD). Hivi kwenye ulingo wa vyama vingi vya siasa, chama tawala kinapiganiwaje kubaki madarakani? Je, hakuna viongozi wa ngazi za juu wa serikali wanaokipigania CCM kubaki madarakani?
 
Hata mimi sikumwelewa M/kiti wa chama hicho ana maana gani
Je ni wale viongozi watakao kuwa wanakiuka DEMOKRASIA na HAKI ya vyama vingi ili kulinda CCM
hata kama ikiwezekana kutumia DOLA kuhakikisha hakuna wa kukibughudi CCM au imekaa kaaje hii KAULI ?
 
Mimi nilifikiri CCM wanataka viongozi watakao kiongoza chama vizuri lakini wanataka wale watakao kipigania kama alivyoongea mwenyekiti wake JK (PhD). Hivi kwenye ulingo wa vyama vingi vya siasa, chama tawala kinapiganiwaje kubaki madarakani? Je, hakuna viongozi wa ngazi za juu wa serikali wanaokipigania CCM kubaki madarakani?

Wewe tatizo lako ni nn?
 
Wewe endelea kufikiri wakati JK anajenga nchi.
 
ikiwa kupigania chama ni kuondoa ujinga,umaskini na utumwa wa kimaamuzi kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi
chama hicho kitakuwa na wapiganaji wazuri wenye kupewa sifa.
lakini kama wanatumia nguvu, dola na dhamana ya madaraka kujihakikishia wabaki katika uongozi
hicho chama si lolote si chochote kwa wananchi wetu wa tz.
cfungamani na kauli ya JK. ni mtizamo tu,
 
Hivi sasa ni rasmi kwamba CCM ni tawala na miliki rasmi ya MAFISADI 100 % kuwa eti ndio timu inayotarajiwa kukipigania MAGAMBA hapo 2015.

Hili hadi hivi sasa limedhihirishwa na kitendo cha kinafiku kwa mapach watatu waliokua wafukuzwe na Mkama wakipandishwa vyeo zaidi na zaidi kwa kazi nzuri huko nyuma dhidi ya WaTanzania.
 
Wale MAPACHA Watatu waUFISADI waliokua wajipime kuondoka chamani kwa kashfa nzito dhidi ya umma wa Tanzania.

Hivi
sasa WAMEPIMWA NA CCM na kupandishwa vyeo vizito na kuonekana leo hii kuwa ni OIL SAFIIIIIIII ndani ya chama na pia kusimikwa kuwa ni Makamanda wa kukipigania chama hiki kwa mtaji wa fedha za Uswisi.

Kambi ya upinzani, hoja nzito ajabu hiyo kutumika kwenye uchaguzi ujao dhidi ya Magamba.
 
Jk anajenga nchi my foot!!! nchi gani anayojenga, sema nchi anayoboma yeye ndiye alieanza na dhana za siasa za dini na ukabila wakati ukweli ni kwamaba! chuki iliyopo mionggoni mwa watanzania wa leo ni kati ya wasio nacho wengi na walionacho wachache (Mafisadi) ambao walianzia kipindi cha Mkapa na yeye kaja kuhitimisha
 
Mama Salma kiwete na ridhiwani kiwete ndiyo safu itayopigania ccm maweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Small brain from Mr chairman! Tunataka viongozi watakao pigania taifa
 
Lazima kuwe na viongozi wa kutetea chama cha mabwepande siyo kutetea wananchi. Ufisadi umetawala
 
Mimi nilifikiri CCM wanataka viongozi watakao kiongoza chama vizuri lakini wanataka wale watakao kipigania kama alivyoongea mwenyekiti wake JK (PhD). Hivi kwenye ulingo wa vyama vingi vya siasa, chama tawala kinapiganiwaje kubaki madarakani? Je, hakuna viongozi wa ngazi za juu wa serikali wanaokipigania CCM kubaki madarakani?
Katka kukipigania chama ni vema hata ukiwa mwana CCM kujipambanua vizuri mtandawo unaoupigania, la sivyo yaweza kukuta makubwa.
 
Back
Top Bottom