Tunataka Ujasiri kama wa Durtete wa Phillipines

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Wapo Marais katika nchi zetu hizi maskini - shithole countries kwa mujibu wa Trump, and rightly so - ambao wanapotuhumiwa kuwa wamekuwa na tabia za kidikteta ama wana makusudi ya kubadili katiba za nchi zao ili watawale milele huishia tu kujitetea kwa kutoa majibu ya juu juu...kwa mfano, wanachama wetu wajiepushe na mjadala huu ama blah blah zingine...

Lakini yupo dikteta wa Phillipines...yeye amelipa jeshi la nchi hiyo mamlaka ya KUMWUA endapo atabadili katiba ili atawale milele au ikiwa atakuwa dikteta(sijui sasa atakuwa mara ngapi maana yu dikteta tayari)!!!

Yupo mwenye Ujasiri kama wa Durtete katika Africa? By the way Phillipines si moja ya shithole countries zilizotajwa na Trump!

Soma zaidi hapa chini:
Duterte orders army to ‘shoot him’ if he becomes dictator
 
Back
Top Bottom