mnyalutanana
Member
- Nov 3, 2012
- 55
- 18
Ili kuthibiti wizi wa kura, tunataka mfumo wa kielectronic utumike katika shughuli nzima za uchaguzi, Hii itapunguza hata wizi wa kura. Naomba kuwasilisha
Tunataka au unataka? mbona unataka kuwaamulia watu wengine? Jisemee wewe pake yako!Ili kuthibiti wizi wa kura, tunataka mfumo wa kielectronic utumike katika shughuli nzima za uchaguzi, Hii itapunguza hata wizi wa kura. Naomba kuwasilisha
Kwa ICT ipi tuliyonayo siye Bongo Ilabitoba!!!!Ili kuthibiti wizi wa kura, tunataka mfumo wa kielectronic utumike katika shughuli nzima za uchaguzi, Hii itapunguza hata wizi wa kura. Naomba kuwasilisha