Tunataka mfumo wa kielectronic utumike uchaguzi mkuu 2015

mnyalutanana

Member
Nov 3, 2012
55
18
Ili kuthibiti wizi wa kura, tunataka mfumo wa kielectronic utumike katika shughuli nzima za uchaguzi, Hii itapunguza hata wizi wa kura. Naomba kuwasilisha
 
CCM lazima watapinga mfumo huu unaozuia wizi na rushwa ambao ni sera kuu ya chama chao.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Magamba wanataka mfumo wa mwaka 47,usishangae wakipendekeza mgombea urais asiwe na mpinzani halafu apigiwe tena kura..huu ni ushetani na usiginaji wa Demokrasia.
 
nashauri chadema ijiwekee mfumo wa kieletronic wa kukusanya matokeo.
Na pia vyombo vya habari vitoe updates sahihi kutoka kila kona ya nchi.
Nilichojifunza kwenye uchaguzi wa USA media zinamtangaza rais kabla ya NEC.
Hapa jamvini kwetu tunapaswa kujipanga pia at least 1 member atakayereport kutoka miji mikuu.
 
Ili kuthibiti wizi wa kura, tunataka mfumo wa kielectronic utumike katika shughuli nzima za uchaguzi, Hii itapunguza hata wizi wa kura. Naomba kuwasilisha
Tunataka au unataka? mbona unataka kuwaamulia watu wengine? Jisemee wewe pake yako!
 
Watapeleka watu wakasome hata kwa miaka 4 kabla ya uchaguzi, ili wa hack system, maana hawa jamaa sina Imani nao hata chembe, maana sasa ivi kiwango chao cha kifisadi kinazidi kupanda.. hawato shindwa kutoa rushwa kwa kampuni itakayo tuuzia ivyo vifaa ili wapewe maujanja ya kuingia kwenye system
 
Back
Top Bottom