Tunataka matokeo ya kwae upesi with 1 hour viginevyo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunataka matokeo ya kwae upesi with 1 hour viginevyo...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TanzActive, Nov 2, 2010.

 1. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tutangazie halima wetu kashinda ,ama sivyo yatatokea ya shy
   
 2. s

  sirgeorge Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shy yameshatangazwa?maana nilisikia kulikuwa na fujo na mabomu ya machozi. Nasikia JK aliingia jioni mjini shy akitokea Mwanza. Matokeo ni vipi hapo Shy?
   
 3. M

  Mutu JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  anaenda huko kufanya nini hasa jamani mna uhakika mnachoongea?
   
 4. r

  rmb JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni aibu kuchelewesha matokeo ya Dar
   
 5. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Siwezi kukubali kumpa kura yangu mgombea anayeshinda, Halima Mdee, halafu ionekane ni ya mwingine ambaye sikumtaka!
   
Loading...