Tunataka kuuana kwa ajili ya kitovu cha mtoto

Mtegemeee Mungu wako atakuokoa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kifiche kisha kafukie chini ya mgomba au kiweke katikati ya kwato ya ng'ombe
 
Jamani l am not a witchman, I am only protecting my kid, dhidi ya wanaotaka niwape kitovu
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hahahah hii kali!

Hivi watu hupigania kupewa kitovu kwa sababu gani? Mie naona uchafu tu unaofaa kutupwa jalalani
 
haya mambo huwa bado yapo?? hivi kumbe kuna ushirikina?? aiseeeeee! nimeshangaa sana, badala ya kugombea kuchangishana mtoto afunguliwe account itakayompatia skul fees baadaye, watu wanagombania vitovu. bado sanaaaaaaa Tanzania!
 
mkuu nisikilize kwa makini sana tena fungua masikio yako ya rohoni na macho ya rohoni ili kuskia na kuona.

mila hizi bado kuna makabiala wanaziendekeza na kaimsingi hayo huishia kwenye kuwajaza watoto maroho ya ajabu ten ya kichawi pasi kujua.

usitishwe na manaeno ya kwamba eti utalogwa na hakuna wa kukuloga daima as long as wewe sio mshirika wao. cha kufanya chukua itovu cha mwanao akitume kwenye shimo la choo kama choo ni cha kuflash wewe kiflash fast tena usimwamabie mtu.

mwambie mkeo najua ni ngumu kumbishia mama yake but wewe uwe firm na hayo mambo kichukue kakitupe na tena yyte yule asijue kiko wapi halafu punguza hao ndugu zako hapo nyumban ondoa wote ubaki na mkeo tu.
 
Pole ndugu wewe kama baba wa familia inabidi uwe na msimamo naona una wakati mgumu sana maana inategemea na mama mtoto imani yake imeinamia wapi?usisahau sala ni nguzo kuu.
Mimi huwa naviflash chooni wala hata siulizagi.
 
Watu wengi hutumia kwa ajili ya ushirikina, kitu cha kwanza fukuza watu wote hapo kwako mbaki wenyewe na housegirl wenu, kitovu unaweza kutupa sehemu yeyote ile na hakina madhara, changanya na taka kakitupe. jamani uzazi sio ugonjwa msipende kuwajaza watu kisa uzazi hayo ndio madhara.
 
mkuu nisikilize kwa makini sana tena fungua masikio yako ya rohoni na macho ya rohoni ili kuskia na kuona.

Mila hizi bado kuna makabiala wanaziendekeza na kaimsingi hayo huishia kwenye kuwajaza watoto maroho ya ajabu ten ya kichawi pasi kujua.

Usitishwe na manaeno ya kwamba eti utalogwa na hakuna wa kukuloga daima as long as wewe sio mshirika wao. Cha kufanya chukua itovu cha mwanao akitume kwenye shimo la choo kama choo ni cha kuflash wewe kiflash fast tena usimwamabie mtu.

Mwambie mkeo najua ni ngumu kumbishia mama yake but wewe uwe firm na hayo mambo kichukue kakitupe na tena yyte yule asijue kiko wapi halafu punguza hao ndugu zako hapo nyumban ondoa wote ubaki na mkeo tu.
nakwambia nimechoka na hii habari, khaaaaa! My dada mzima wewe?? Kwema?? Najua nina deni, litaongelewa n autanielewa tu! Salamu kwa bby's hm!
 
Haya ni makubwa tena sana mnagombea kitovu?? Inaonekana wote ni wachawi sasa mnapimana nguvu
 
Pole ndugu wewe kama baba wa familia inabidi uwe na msimamo naona una wakati mgumu sana maana inategemea na mama mtoto imani yake imeinamia wapi?usisahau sala ni nguzo kuu.
Mimi huwa naviflash chooni wala hata siulizagi.
Ndio maana mimi nashangaa habari za vitovu hapa, maana mimi mambo hayo nilishamwachiaga Mama mtoto, sina interest yoyote na mambo ya kienyeji.
 
Back
Top Bottom