Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

Hivi nyie mnaomtetea mwendazake kwa hoja nyepesi nyepesi mnataka kutuaminisha nini kwa mfano??

Kwamba mzee hajafa?
Kwamba aliyepo mnataka mumpindue? Kwamba mnataka muongoze nyie badala ya anayeongoza?
What exactly are you after? Hamueleweki eti.
 
uwe unasoma na kufuatilia mambo, lakini pia kama wewe ni mzalendo wa kweli hupaswi kueneza propaganda kwa faida yako na kundi lako huku ukiwaweka hatarini watanzania otherwise utakuwa sio mtanzania na wapo wanaokutuma kwa kazi hiyo kwa maslahi yao..

Issue ya makinikia kamuulize Kabudi anaijua vizuri, au hujui hakuna kitu kinaitwa ACACIA sasa, ila ni Kampuni inaitwa Twiga inayoundwa na Barrick na GOT, kama makinikia unayaona yanasafiri basi ni baraka ya TWIGA na kinachopatikana kinagawana na watanzania wanapata mgao wao...? issue ya makinikia kusafiri ilianza toka mwendazake akiwa hai na hata yale makontena ya bandarini yalisafiri akiwa hai baada ya kukubaliana yeye mwenyewe na hao tunawaita mabeberu...

Awamu ya tano imekopa kuliko serikali yeyote katika nchi hii toka uhuru, tena kwa kificho na kudanganya raia kila ujenzi ni fedha za ndani na watu kama wewe mkapiga makofi na kuimba mapambio kila zinduzi huku deni la taifaaa likipaa kuliko kwa miaka mitano tu...

ACHA PROPAGANDA HAZITA KUSAIDIA ZAIDI YA KULETA UHARIBIFU...
 
Back
Top Bottom