Tunataka kufungua tawi la CHADEMA Kimara Stop over pia chuoni St Joseph

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Naombeni process za kufunga tawi'hata number za simu ikiwezekana kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa no 0714519880
 
Good move, nakuunga mkono. Naomba Mh Mnyika atusaidie kufungua tawi letu Kibamba Hospitali/Kwa Mangi
 
big up! Chadema itajengwa na wenye moyo siyo wenye pesa za kifisadi kama ccm.
 
ila ujue mkuu kuna mikiki mikiki mingi utakutana nayo ila nakuunga mkono sana tu bro
 
Naombeni process za kufunga tawi'hata number za simu ikiwezekana kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa no 0714519880

ili kufungua tawi inatakiwa muanze na msingi wa wanachama 8 then misingi ikiwa miwili au zaidi ndo mnaweza kufungua tawi.kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya chama...chadema.or.tz
 
ili kufungua tawi inatakiwa muanze na msingi wa wanachama 8 then misingi ikiwa miwili au zaidi ndo mnaweza kufungua tawi.kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya chama...chadema.or.tz

nashukuru nitapitia
 
Back
Top Bottom