Tunataka kitengo cha mifupa,mapanga yamezidi tarime-Nyambari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunataka kitengo cha mifupa,mapanga yamezidi tarime-Nyambari.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Priest, Jul 12, 2011.

 1. T

  The Priest JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Bajeti ya wizara ya afya,Mbunge wa Tarime,Mhe.nyambari nyangwine ameomba kuwekewa kitengo cha mifupa ktk hospitali ya wilaya ya tarime, kwa sababu watu wa kule wanakatana sana mapanga,(kughechana)..hivi kweli hilo ndio suluhisho la tatizo hilo..?
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Huyu Mbunge niaje tena?
  Ina maana ameshindwa kabisa kutafuta suluhu ya tatizo mpaka atoe hoja mfu kiasi hiki?
   
 3. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Bora na yeye kaongea katoa mawazo yake, anaonekana ni kiasi gani kichwani hakupo sawa,nilijuwa ataomba msaada labda wa kuweza kusolve hiyo issu,yeye anaomba waweka kitengo cha mifupa.....
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kikipelekwa hicho kitengo cha mifupa haoni kama wakurya ndio watazidi kukatana mapanga? haoni kwamba huu ni uchochezi mmojawapo wa vurugu, kwamba watu wasiwe na wasiwasi wa kukatana mapanga sababu kipo kitengo cha mifupa kipo kwa ajiri yao?. Wabunge wa sisiemu sioni jambo lolote la muhimu wanalochangia humo bungeni zaidi ya kutuma salamu kwa familia zao.
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Vita ni vita
   
 6. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haaah haaah ama kweli Tz kuna wabunge vilaza duh
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kama kuna wabunge bogas huyu sintashangaa akiongoza
   
 8. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Atakuwa anafanana na majina yake 'nyangwini nyambari' Hebu mapoti wa huyu jamaa watuambie haya majina yana maana gani mura!
   
 9. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  fita ni fita tu siyo mbhaka gheshini. Hata huku taarime fita fipo tu.
   
Loading...