Tunataka Katiba mpya au tunaomba katiba mpya?

Incredible

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,031
1,603
Tunapomchagua Rais, maana yake ni kwamba tumeajiri mtu atutumikie. Tunamlipa mshahara kwa kodi zetu, na tunamlida kwa Vyombo vya usalama kupitia kodi zetu.

Huyu tuliyemwajiri tunatakiwa tumpe job description na tuangalie utendaji wake. Hivi tutavipata kwenye katiba bora.

Mtumishi wetu anapotwambia sisi waajiri wake kwamba katiba siyo priority yake,.. That is an insult.

Tujiulize swali. Tunataka katiba mpya au tunaomba katiba mpya?
 
Eti anasema ananyoosha nchi kwanza, aisee ngoja niishie hapo nisije kupewa ban maana JFna moderators wanamuogopa kama ukoma
 
Back
Top Bottom