AMARIDONG
JF-Expert Member
- Jun 24, 2010
- 2,502
- 180
Wadau kabla ya kufikia mabadiliko ya katiba ni lazima tujuekitu tunachotaka kama ni katiba mpya au kiraka kipya
katiba yetu ina mapungufu mengi kwa mfano
-katiba tuliyonayo leo ni ya mwaka 1977,
-Katiba hii iliundwa bila kuwashirikisha wananchi
-Katiba hii inakabiliwa na changamoto nyingi,kama Nafasi ya raisi katika kutunga sheria,Muungano,Nguvu na Mamlaka ya raisi,Tume ya Uchaguzi,Nafasi ya raisi wa Zanzibar,Msajili wa vyama vya siasa
na mengne mengi,
embu tuangalie kwanz ni kweli tunahitaji kiraka kingine au tunataka katiba mpya
nionavyo Waziri Mkuu kachemka sisi tunataka KATIBA MPYA na sio KIRAKA KIPYA