Tunatafuta Vijana Wawili wa IT kama Wabia

Steven Sambali

JF-Expert Member
Jul 31, 2008
352
170
Je umemaliza maswala ya IT hasa Programming kwa kutumia C++ (with MySQL)?

Nipo na kikundi cha Watanzania kadhaa katika kuanzisha Biashara ya IT.

Tunatafuta Wataalamu wawili ambao watakuwa Wabia pia wa kampuni kama Programmers.

ANGALIZO:
1. Hatutafuti Wafanyakazi ila Wabia. Uwe na Laptop au Computer yako.
2. Umri tungelipenda usizidi miaka 30. Ila kama umezidi kidogo unakaribishwa.
3. Tungelipenda zaidi vijana waliomaliza Chuo ila wana kazi PART TIME.

Kwa maelezo zaidi niandikie Inbox au
email: Ssambali@hotmail.com
Whatsapp: +48 503 535 735
Skype: Ssambali.
 
Khaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe mtu wa kukata tamaa. Kama hiyo C++ unaifahamu, wewe njoo tuongee.
Dunia hii imeumbwa na watu wanaojiamini. Ni heri niwe na mtu anayejiamini hata kama sifa kidogo inakwama.
Mengine tutamfundisha huko huko mbele kwa mbele.

JIAMINI Mkuu, JIAMINI!!! Karibu tuongee kama hiyo ya mwisho peke yake inagoma.
Dah mwishoni nimekosa sifa.
 
Mzee ulisomea wapi IT?
 
Sijakata tamaa bali nyinyi ndio mtakatisha watu tamaa najua hukuweka ANGALIZO kimakosa kwahiyo ngoja wapatikane wenye sifa zote kwanza sisi wengine mtajazia.

Africa isipothamini talents na uwezo tutakuwa na safari ndefu.
 
Niandikie email tuongee. Hilo angalizo lipo ili livunjwe na watu wenye ujasiri.

Labda kama huna nia ya kweli. Ila kama una nia kwelikweli, SKY IS THE LIMIT.

Back
Top Bottom