Tunatafuta Vijana Wawili wa IT kama Wabia

Steven Sambali

Verified Member
Jul 31, 2008
342
250
Je umemaliza maswala ya IT hasa Programming kwa kutumia C++ (with MySQL)?

Nipo na kikundi cha Watanzania kadhaa katika kuanzisha Biashara ya IT.

Tunatafuta Wataalamu wawili ambao watakuwa Wabia pia wa kampuni kama Programmers.

ANGALIZO:
1. Hatutafuti Wafanyakazi ila Wabia. Uwe na Laptop au Computer yako.
2. Umri tungelipenda usizidi miaka 30. Ila kama umezidi kidogo unakaribishwa.
3. Tungelipenda zaidi vijana waliomaliza Chuo ila wana kazi PART TIME.

Kwa maelezo zaidi niandikie Inbox au
email: Ssambali@hotmail.com
Whatsapp: +48 503 535 735
Skype: Ssambali.
 

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,077
2,000
FaruJohn nilimuandikia mapema na tukawa tunawasiliana.

Baada ya mwaka mpya, amepotea kabisa. Sijui kapotelea wapi.

Asante sana Mkuu Upepo wa Pesa kwa kunikumbusha.
Alikuja hapa akiwa anatafuta kazi ya IT ila hakufanikiwa, nikajua anaweza pata chance, ila kama kazingua basi tena!!

NB: huu uzi ungeupeleka kule jukwaa la tech au la ajira wenda ungepata watu zaidi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Steven Sambali

Verified Member
Jul 31, 2008
342
250
Asante kwa ushauri. Nilidhani nilete huku kwenye Biashara kwani ni swala la biashara.

Farujohn siyo kwamba kazingua ila sina mawasilano naye kabisa tangu baada ya mwaka mpya.
Mwanzo alikuwa akinijibu siku ileile na ukweli nilimpenda. Pia kuweka hapa zaidi nililenga kwamba
kuna watu wanamfahamu na wataweza kumwambia aje JF kusoma ujumbe huu na wa Inbox.
Labda yuko busy na maswala mengine na atarudi. Ila alinifurahisha juhudi zake.

Alikuja hapa akiwa anatafuta kazi ya IT ila hakufanikiwa, nikajua anaweza pata chance, ila kama kazingua basi tena!!

NB: huu uzi ungeupeleka kule jukwaa la tech au la ajira wenda ungepata watu zaidi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom