Tunatafuta mwekezaji katika biashara ya manunuzi

Erick kg

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
314
71
Biashara ya Mfumo wa manunuzi ya bidhaa zote zinazipatikana China kwa Bei ya jumla kwajili ya wafanyabiashara wadogo na wakati kwa Tanzania nzima, kupitia mtandao. Platform(mobile app) ipo Hewani tayari.

Wateja watakuwa wanauwezo wa kupata bidhaa zote za china na kwa bei ya kiwandani, bila kuenda china akiwa popote alipo kwa kutumia simu yake tu.

Kampuni yetu ina Warehouse kubwa china tayari ambapo mzigo ya wateja itakuwa inakaguliwa kuhakikisha Ubora na uhakika wa bidhaa kabla haijaja Tanzania.

Kampuni ina ofisi Dar es salaam na China
Kampuni inategemea kupata makadirio ya Faida ya 2 Billion(2,000,000,000) kwa mwaka wa kwanza. Hizi ni takwimu zizotokana na Feasibility study iliyofanywa na kampuni yetu.

MWEKEZAJI AWE NA UWEZO WA KUWEKEZA 50M- 100M.
 
Mkuu kwahiyo ninyi mnamiliki hiyo watehouse, na hiyo mobile app, na hiyo faida sasa mliyofanyia upembuzi yakinifu
Sisi Tunamiliki Mobile App.. warehouse tumekodisha. Faida hio tena ni makadirio ya chini sana. Kwasababu hii biashara lengo kuu ni kuwasaidia wa Tanzania wote kupata Bidhaa China kwa urahisi sana na mizigo ifike kwa wateja Haraka tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom